BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Trump afungua mlango wa mazungumzo na Iran
Iran bado haijatoa jibu kwa matamshi ya Trump. Trump amekuwa akisisitiza mara kwa mara kwamba mwisho wa vita kupitia mazungumzo uko karibu kufikiwa, lakini mashambulizi ya kulipizana yamekuwa yakirejea tena na tena.
Kwanini kondo la nyuma linauzwa katika soko haramu?
Mwisho wa mwezi uliopita, mamlaka zilikamata kilo 500 za kile walichoamini kuwa ni kondo la nyuma la binadamu katika kituo haramu cha kuchakata bidhaa hizo mjini Islamabad, na kuwakamata watu watano.
Kwa nini Saudia imekusanya nchi 14 kulinda Bahari ya Shamu?
Saudi Arabia na kwa ushirika wa nchi nyingine 13, imetangaza kuundwa kwa muungano wa kimataifa wa ulinzi wa baharini unaoongozwa na Riyadh.
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: Tottenham inamfukuzia Osimhen Galatasaray
Tottenham yaanza mpango wa kumsajili Victor Osimhen, Atletico Madrid inatafakaria kumsajili winga wa Manchester City Jack Grealish, na mshambuliaji wa Liverpool Cody Gakpo afanya mazungumzo na Spurs.
Feri yateketea baharini Indonesia, watu wafariki na wengine hawajulikani walipo
Video nyingine zimeonyesha baadhi ya watu wakishuka kutoka kwenye feri hiyo huku miali mikubwa ya moto na moshi mzito ukionekana ukifuka kutoka sehemu ya juu ya feri.
Ebola yaendeleea kuua DRC huku Uganda akifanikiwa kuzuia maambukizi mapya, Siri ni nini?
Kati ya wagonjwa 20 waliothibitishwa kuwa na Ebola nchini Uganda tangu mwezi Mei, wengi walikuwa wametokea DRC. Hata hivyo, mamlaka zinasema hatua za haraka zilisaidia kuzuia maambukizi makubwa ndani ya nchi.
Kwa nini baadhi ya 'wabeba vyuma' hufa mapema?
Kwa nini basi baadhi ya wajenzi wa misuli, ambao kwa nje huonekana kuwa na nguvu na afya njema, hufariki ghafla wakiwa bado vijana?
Salah akaribia kutua Trabzonspor
Mohamed Salah anakaribia kukamilisha uhamisho wake kwenda Trabzonspor, huku Bayern Munich ikimsaka mshambuliaji wa Manchester United, Benjamin Sesko. Wakati huohuo, kocha wa Manchester City, Enzo Maresca, anatamani kufanya kazi tena na winga wa Chelsea, Pedro Neto.
Wanasayansi watafanikiwa kuotesha meno mapya ya binadamu?
Inaeleweka kwamba matatizo ya meno, kama vile bakteria kutoka katika fizi, wanaweza kuongeza hatari ya ugonjwa wa moyo na maambukizi katika mifumo ya kupumua.
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Tunajua nini kuhusu mapendekezo kwa Iran kuhusu Mlango bahari wa Hormuz?
Kusitishwa kwa mashambulio kati ya Iran na Marekani kumeimarisha juhudi za kidiplomasia na juhudi za wapatanishi za kutatua mizozo ya pande hizo mbili, kuu kwa sasa ni suala la usafiri wa meli katika Mlango Bahari wa Hormuz.
Nchimbi awaambia Watanzania: "Pambaneni mpate Katiba mpya"
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuendelea kudai kupatikana kwa Katiba mpya yenye maridhiano ya kitaifa, akisema ndiyo msingi wa kuimarisha haki za binadamu, utawala bora na demokrasia nchini.
Ukigundua miili 40,000 ilizikiwa chini ya nyumba yako utafanyaje?
Wanahistoria walikuwa wakijua kwa muda mrefu kuhusu uwepo wa makaburi hayo kupitia kumbukumbu za makanisa, lakini eneo lake halisi lilikuwa limepotelea chini ya ardhi wakati jiji lilipokuwa likipanuka.
Kwa nini mpenzi wa kwanza hawezi kusahaulika?
Kwa watu wengi, kupendwa kwa mara ya kwanza ni jambo wanalokumbuka kwamuda mrefu maishani.
'Baada ya kuthibitishwa kuwa nina ugonjwa huu nilitamani kufa'
Kulingana na Nduta ugonjwa huu una dalili zaidi ya 40 na kila mmoja ana dalili zake. Lakini anachokijua ni kwamba kadiri miaka inavyoongezeka ndivyo hali ya ugonjwa huu inavyoendelea kuwa mbaya.
Nchi sita zinazowavutia watalii zaidi barani Afrika
Sawa na maeneo mengine ya duniani, Afrika inaendelea kuwavutia watalii wa kimataifa mwaka wa 2026.
Mlima Kallang uko wapi na kwa nini Trump anautolea vitisho vya kuushambulia?
Katika vitisho vyake vya hivi karibuni dhidi ya Iran, Rais wa Marekani Donald Trump amelitaja eneo ambalo halijulikani sana ikilinganishwa na vituo vingine vya nyuklia, "Koh Kalang," eneo la chini ya ardhi lililo karibu na kituo cha nyuklia cha Natanz.
Freemasons waelezea taratibu zao na faida za kuwa mwanachama
Kuanzia salamu za siri za mikono na kukunja ncha za suruali hadi tuhuma za upendeleo kwa watu wa karibu, uonevu na kukandamiza mageuzi, sifa ya Freemasons haijawahi kuwa nzuri wakati wote.
Jumuiya ya Madola yapendekeza kesi ya Tundu Lissu 'imalizwe' ndani ya siku 30
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu
Klabu, pombe na elimu, ndani ya 'Drunken Lectures' jijini Nairobi
Mazingira ya klabu yanasemekana kuwa rahisi kwa watu kuelewa masuala muhimu katika jamii ambayo yanawahusu au kuwagusa moja kwa moja.
Kwa nini Austria ilibadilisha mahali alipozaliwa Hitler kuwa kituo cha polisi?
Austria imefungua kituo cha polisi katika nyumba ambayo Adolf Hitler alizaliwa. Jengo hilo liko katika mji wa Braunau am Inn, ulioko kaskazini mwa Austria, ambao una wakazi wapatao 17,000.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 3 Agosti 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 3 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 3 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 31 Julai 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































