BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Trump alikosoa Bunge la Marekani kwa kusitisha hatua za kijeshi dhidi ya Iran
Azimio hilo kwa kiasi kikubwa ni la kiishara, lakini linaongeza shinikizo kwa Ikulu ya White House kumaliza mzozo huo mara moja.
Je, ndege ya Trump ya hali ya juu ina uwezo gani?
Airforce One: Rais wa Marekani Donald Trump ameitembelea ndege mpya ya rais, aliyokabidhiwa na Qatar mwaka mmoja uliopita, akiielezea kama "ndege ya kifahari zaidi duniani."
Maoni: Je, Muungano wa Zanzibar na Tanganyika una matatizo?
Mijadala kuhusu muungano si kitu kipya, imekuwepo kwa miaka mingi. Huibuka ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na nje ya chama hicho kwa maana ya vyama vya upinzani, wasomi na wanaharakati. Kuna lipi jipya wakati huu?
Waridi wa BBC: Niliacha shule kidato cha pili, niwe mfanyabiashara mkubwa
Miaka 10 iliyopita, nilikuwa ninaishi Kigamboni huku shule yangu ikiwa Upanga. Kutokana na changamoto za usafiri, ilinichukua kati ya saa nne hadi tano kufika shuleni kila siku
'Nimerudi' - Ronaldo awajibu wakosoaji baada ya kuvunja rekodi
Ronaldo alikosolewa vikali baada ya Ureno kutoka sare ya 1-1 na DR Congo katika mechi yao ya kwanza ya Kundi K
Kwa nini Serikali ya Tanzania kutaka kukopa BoT kumeibua mjadala?
Pendekezo la kuiruhusu Serikali kukopa moja kwa moja kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakati wa dharura limezua mjadala mkubwa miongoni mwa wachumi, wanasiasa na wadau wa sera za umma.
Tetesi za soka Ulaya: Bayern Munich kumzuia Olise kupitia donge nono
Manchester United na Arsenal wanamfuatilia kiungo wa Bournemouth Alex Scott, wakati The Gunners pia wanawasiliana na Leicester City kuhusu dili la kumnunua Jeremy Monga na Aston Villa wakionyesha nia ya kutaka kumnunua Jarrod Bowen.
Mapumziko ya kunywa maji Kombe la Dunia: Nani wanaonufaika na nani wanaopoteza?
Mapumziko ya lazima ya kunywa maji yamekuwa sehemu ya kawaida ya mechi za Kombe la Dunia, lakini nani wanaonufaika na nani wanaopoteza kutokana na utaratibu huo?
'Israeli iliokolewa na silaha za Marekani'
Baadhi ya mawaziri wa serikali ya Israel walikosoa mkataba wa maelewano kati ya Marekani na Iran wakisema, "Hatufungwi na makubaliano ya Trump, ambayo hayatuhakikishii usalama wa taifa letu."
Kombe la Dunia 2026: Mbio za taji la mfungaji bora duniani - nani ataibuka kidedea?
Lionel Messi anaongoza kwa mabao matano katika michezo miwili. Kylian Mbappe na Erling Haaland wanashika nafasi ya pili kwenye msimamo wakiwa na mabao manne kila mmoja.
Wanawake wanaonufaika na utalii kupitia urithi wa utamaduni wao Zanzibar
Kwa wanawake wengi katika jamii za pwani ya Tanzania, talaka inaweza kuwa mwanzo wa changamoto mpya za kijamii na kiuchumi.
Syria inaweza kuchukua nafasi ya Israel kukabiliana na Hezbollah?
Rais wa Marekani Donald Trump kwa mara nyingine amezungumzia uwezekano wa Syria kuwa na jukumu la kukabiliana na Hezbollah nchini Lebanon, na kutangaza kuwa amezungumza na Rais wa Syria Ahmed al-Sharaa kuhusu hili na yuko mbioni kukabidhi faili la Hezbollah kwa Syria.
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Kwa nini uume ni kipimo muhimu cha afya ya mwanaume
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi punde, wanaume wenye tatizo la kushindwa kusimamisha uume walibainika kuwa na uwezekano mkubwa kwa asilimia 59 wa kupata ugonjwa wa mishipa ya moyo na uwezekano mkubwa kwa asilimia 34 wa kupata kiharusi.
Mambo muhimu 14 waliyokubaliana Iran na Marekani
Makubaliano ya Marekani na Iran ya kuongeza muda wa usitishaji mapigano kati ya nchi hizo mbili yamesainiwa na sasa yameanza kutekelezwa, afisa mmoja kutoka ikulu ta White House ameiambia BBC.
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
Kwanini Kim Jong-un huwa hamzungumzii mama yake?
Ko alifariki kabla ya Kim Jong-il, ila kifo chake katika hospitali moja mjini Paris hakikutajwa na vyombo vya habari vya Korea kaskazini.
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani? Kwanini Simai ameamua kuzungumza sasa? Na kwa nini achague Bunge, badala ya vikao vya chama, kuwasilisha ujumbe huo?
Kuanzia Makonda hadi Mafwele, hawa ni 'vigogo' 5 Afrika Mashariki waliopigwa marufuku kuingia Marekani
Nchi za Afrika Mashariki, zimekumbwa na vikwazo vya watu wake kuzuiwa kuingia Marekani huku majina makubwa ya kisiasa na kiusalama, kutoka Tanzania, Kenya, hadi Rwanda na Uganda yakiguswa.
Hali ya maisha katika nchi tano salama zaidi duniani 2026
Viwango vya jumla vya amani vilizorota katika nchi 99, ikiashiria mwaka wa kumi na mbili mfululizo wa kushuka kwa hali ya usalama ulimwenguni.
Hifadhi za urani iliyorutubishwa za Iran ziko wapi?
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) lilisema wakati huo kwamba Iran ndiyo nchi pekee isiyo na silaha za nyuklia duniani iliyofikia kiwango hicho cha juu cha urutubishaji.
Mataifa 10 ya Afrika yaliyo na uwezo mkubwa wa kiviwanda: Morocco yaipiku Afrika Kusini
Afrika imeshuhudia mabadiliko katika ukuaji wa kiuchumi kati ya Morocco na Afrika Kusini mwaka uliopita 2025, kulingana na Kielezo cha Maendeleo ya Viwanda cha Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB)
Kutoka kivuli hadi alama ya nguvu duniani, Putin alijengaje taswira yake?
Kwa miaka mingi, Vladimir Putin ameibadilisha Urusi kutoka taifa lenye demokrasia changa na dhaifu kuwa dola yenye mfumo wa kiutawala wa kimabavu ambao kwa kiasi kikubwa umejengwa kumzunguka yeye kama rais.
'Tunahofia maisha yetu': Muda wa mwisho kwa wahamiaji kuondoka Afrika Kusini wakaribia
Waandamanaji wameweka tarehe 30 Juni kuwa siku ya mwisho kwa wahamiaji wote wasio na nyaraka halali kuondoka nchini.
'Nimewapiga marufuku wanaume wengi kwenye kliniki yangu ya masaji kwa sababu ya tabia zao'
Baada ya miezi mitatu tu ya kufanya kazi kama mtaalamu wa masaji aliyehitimu, Maria aliamua kuchagua zaidi ni nani anayemtibu.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 24 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 24 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 24 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 23 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































