BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Tume yaanza kuwasaka 'wapangaji' wa ghasia za uchaguzi Tanzania
Kwa mujibu wa Jaji Lila, Tume itachunguza madai ya watu kupata majeraha makubwa kutokana na matumizi ya silaha za moto kinyume na sheria, taratibu na miongozo iliyopo
Lissu: Kauli zangu zilinyofolewa nje ya muktadha
Nia yangu ilikuwa kuwaelewesha watia nia wa chama changu kuhusu matatizo ya mfumo wetu wa uchaguzi.
Marekani inapoteza ushawishi Mashariki ya Kati?
Mwandishi anatoa mtazamo wake kuhusu mwisho wa nguvu za Marekani katika Mashariki ya Kati kwa kukumbuka Mgogoro wa Suez wa 1956, ambao ulimaliza ushawishi wa Uingereza na Ufaransa katika eneo hilo.
Vita vya DRC vitamalizikaje?
Kinshasa na wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanaishutumu Rwanda kwa kuunga mkono kundi la waasi la M23 kwa kuwapatia mafunzo ya kijeshi na silaha.
Jinsi mwili wa mke wa rais ulivyoibiwa na kupatikana miaka 16 baadaye
Hata miaka 24 baada ya kifo chake, nguvu ya kiishara ya Evita ilikuwa bado kubwa kiasi kwamba mwili wake ulilazimika kuzikwa mita tano chini ya ardhi.
Mkapa alivyofika Mahakamani kutoa ushahidi kesi ya Mahalu
Balozi Prof. Mahalu alikuwa anakabiliwa na mashitaka ya uhujumu uchumi yaliyohusiana na ununuzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Italia. Katika hatua ya utetezi, Mahalu alimtaja Mkapa kuwa mmoja wa mashahidi wake.
Kesi 5 za wanasiasa Afrika zilizochukua miaka mingi kuamuliwa
Mchakato wa kisheria unaweza kuchukua miaka kadhaa, lakini si kila kesi inayodumu kwa muda mrefu huishia katika hukumu ya hatia.
Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Man City iko tayari kumsajili Fernandez wa Chelsea
Liverpool na Brighton zimefanya mazungumzo mapya siku ya Jumapili kuhusu winga raia wa Gambia, Yankuba Minth, 22, huku Reds wakifikiria kutoa ofa ya tatu.
Mwanamke aliyetandikwa viboko na Taliban: 'Nilimchapa viboko 39 kwa sababu ya uhusiano wa kimapenzi'
"Waliponifikisha mbele ya mahakama ya rufaa, walinifunga mikono na kunifunika uso. Walinichapa viboko 39 mbele ya watu wote waliokuwepo. Walivihesabu wenyewe; kwenye karatasi iliyoandikwa kosa langu, waliandika pia idadi ya viboko."
Nchi 5 bora zaidi kuishi duniani
Je, huwa unahisi kutaka kuacha kila kitu nyuma na kuhamia nchi nzuri ili kuanza maisha mapya?
Dawa za kifafa, kilevi kipya cha vijana?
Ili kufurahia kuwa nje usiku na marafiki, awali ilimbidi Matt anywe pombe hadi kuzidiwa na kuwa na maumivu
Timu 5 za kutazama katika Ligi Kuu ya England msimu huu
Arsenal ilitwaa ubingwa wa ligi hiyo mwaka jana kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 22, na timu hiyo itakuwa ikilenga kutwaa taji hilo kwa mara ya pili mfululizo na kufuata nyayo za Manchester City, ambayo ilitawala mashindano hayo kwa karibu miaka 10 chini ya Pep Guardiola.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Siri Yafichuliwa: Kwa nini Bomu la Nagasaki halikuweza kuzuiwa
Mnamo tarehe 9 Agosti 1945, bomu la plutonium liliangushwa katika mji wa Nagasaki nchini Japan, na hivyo kuhitimisha Vita vya Pili vya Dunia.
Silaha 9 za teknolojia ya juu zitakazobadili vita vya siku zijazo
Leo uwanja wa vita unaelekea kwa kasi kwenye silaha zisizoonekana, kupitia akili unde, sumakuumeme, na anga ya juu.
Je, Iran itaishambulia Ulaya?
Iran inaweza kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani barani Ulaya iwapo Donald Trump ataishambulia Iran tena, gazeti la Financial Times linaripoti.
Nani anafadhili magenge ya wahuni kuchochea ghasia za kisiasa Kenya?
Polisi nchini Kenya wamewakamata watu 37 wanaoshukiwa kuhusika na ghasia za kisiasa, baada ya kukutwa na silaha mbalimbali katika kaunti za Kisumu na Homa Bay. Ni nani yuko nyuma ya makundi haya ya vijana?
Bidhaa 8 zilizobadilisha dunia
Apple inatimiza miaka 50, safari yenye mafanikio makubwa, changamoto na bidhaa zilizobadilisha dunia. Tunaangazia bidhaa zilizoifanya Apple kuwa kampuni tunayoijua leo.
Kazungu: Kada wa CCM azungumza na BBC alivyotekwa na kuteswa
Kazungu alitekwa tarehe 04 Agosti akiwa nyumbani kwake akijiandaa kuoga, ambapo watekaji walimchukua kwa nguvu, kumuingiza katika gari aina ya Land Cruizer na kuzunguka naye kwa masaa mengi, kwa mwendo wa kasi huku akiwa amefungwa kitambaa cheusi usoni na pingu mikononi.
Elon Musk ataka kujenga jiji mwezini, ndoto yake inawezekana?
Hivi karibuni, Elon Musk alitangaza mpango wa kujenga mji kwenye Mwezi; alisema kuwa mpango huo unaweza kutekelezwa ndani ya muda usiozidi muongo mmoja na kwamba mji huo utakuwa na uwezo wa kukua na kuendelea kwa kujitegemea.
Iran na Marekani kuingia awamu mpya ya vita?
Iran na Marekani zimeingia katika hatua mpya ya mvutano, huku makubaliano yakikwama na vita vya kiuchumi vikiongezeka. Nani atalegeza kamba?
Ellen: Binti anayewafuatilia simba 300 wenye vitambulisho Serengeti
Kwa miaka mitatu, mwanasayansi huyo amekuwa akiwafuatilia simba katika Serengeti, akijifunza maisha yao mmoja baada ya mwingine, huku akikabili hatari za kuwa karibu nao.
Mji unaomtengenezea Trump makombora
Mkazi mmoja anasema kuwa katika eneo la Kingsport, Tennessee, lililoko katika ukanda wa milima ya Appalachian, kuna makanisa mengi kiasi kwamba inaonekana kana kwamba kuna kanisa katika kila barabara.
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
WARIDI WA BBC: 'Nina miaka 23 na nywele zangu zinanyonyoka'
Tatizo la kung'oka au kunyoyoka nywele linakadiriwa kuwaathiri watu milioni 160 duniani kote.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 06:59, 25 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Listen Live, Amka Na BBC, 05:59, 25 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 24 Agosti 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 24 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































