Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kwa Picha: Maisha ya Askofu Desmond Tutu
Iliyochapishwa
Askofu Mkuu Desmond Tutu alikuwa mtu anayependwa sana kote duniani - hasa kwa jukumu lake katika mapambano ya Afrika Kusini dhidi ya ubaguzi wa rangi. Hapa, tunaangazia maisha ya mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 90.
All images are subject to copyright.