BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Marekani na Iran kufikia makubaliano ndani ya saa 24 zijazo
Waziri mkuu wa Pakistan, ambao ndiyo wapatanishi wakuu wa Marekani na Iran, amesema makubaliano ya kusitisha vita kati ya Marekani na Iran yatakuwa tayari chini ya saa ishirini na nne zijazo.
Je, wanadamu wanaweza kupata watoto katika anga za juu?
Jumuiya ya watafiti wa anga za juu imetoa ahadi kubwa kuhusu mustakabali wa maisha ya binadamu nje ya Dunia.
Kwa nini baadhi ya watu wanashauriwa kujiepusha kula maembe
Kile kinachochukuliwa kuwa "lishe bora" wakati mwingine kinaweza kusababisha matatizo kwa baadhi ya watu kwa mujibu wa mtaalamu wa lishe Dk. Amina Yusuf
Tetesi za Soka Ulaya: Arsenal, Man Utd zamgombania Fernandes
Real Madrid inatarajiwa kukamilisha usajili wa kiungo Bernardo Silva, Bayern Munich inamtaka Marcus Rashford, huku Manchester United ikiongoza mbio za kutata saini ya Mateus Fernandes.
Kwanini Tanzania inaweza kufuzu Kombe la Dunia 2030?
Tanzania haijawahi kufuzu fainali za Kombe la dunia kwa timu ya wakubwa wanaume, na kwa miaka mingi, swali la Tanzania kufuzu Kombe la Dunia lingeonekana kama ndoto ya mbali. Lakini safari hii, kwa mara ya kwanza, linaonekana kama jambo linaloweza kuja
Kombe la Dunia 2026: Ratiba, msimamo na matokeo
Kombe la Dunia 2026: Nchi tatu, viwanja 16
Mkataba wa amani kati ya Marekani na Iran utasainiwa Jumapili huko Geneva
Taarifa zinasema makubaliano hayo kati ya Marekani na Iran ya kusitisha vita kwa siku 60 yataitwa makubaliano ya Islamabad, yamezingatia matakwa ya pande zote mbili
Mataifa 10 ya Afrika yaliyo na uwezo mkubwa wa kiviwanda: Morocco yaipiku Afrika Kusini
Afrika imeshuhudia mabadiliko katika ukuaji wa kiuchumi kati ya Morocco na Afrika Kusini mwaka uliopita 2025, kulingana na Kielezo cha Maendeleo ya Viwanda cha Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB)
Tanzania inavyoufanya mtihani wa diplomasia ya dunia
Tanzania imewahi kupitia nyakati ngumu, zikiwemo vita ya Kagera (1978), baa la njaa la 1974 na mvutano wa kisiasa Zanzibar (2001). Hata hivyo, matukio ya kabla na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 yamefungua sura mpya, si ya mgogoro wa ndani pekee, bali mtihani wa diplomasia ya kimataifa.
Kombe la Dunia 2026: Mexico yaichapa Afrika Kusini, kadi nyekundu tatu zatolewa
Pazia la mashindano ya Kombe la Dunia 2026 limefunguliwa. Mechi ya ufunguzi wawakilishi wa Afrika, timu ya taifa ya Afrika Kusini imeanza vibaya kwa kuchapwa 2-0 na Mexico
Ifahamu droni ya baharini iliyotumiwa na Marekani kuwaokoa wanajeshi wake
Hiki ni kisa cha kwanza kinachojulikana ambapo chombo kisicho na rubani kimetumika kutekeleza kazi ya uokoaji.
Kombe la Dunia 2026 - Mechi na Matokeo
Pata matokeo, ratiba za mechi, magoli na wafungaji mubashara wa Kombe la Dunia 2026 sehemu moja.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Kwa nini Iran iliamua kuishambulia Israel?
Kwa mujibu wa taarifa za maafisa wa kijeshi nchini Iran, shambulio hilo lilikuwa la " kulipiza kisasi mashambulizi ya Israel dhidi ya vitongoji vya Beirut."
Mythos ni nini na kwa nini inaonekana kuwa tishio kubwa kuliko Mlango bahari wa Hormuz?
"Tunajua Mlango Bahari wa Hormuz ulipo na ukubwa wa tishio lake, lakini bado hatuelewi kikamilifu hatari tunayokabiliwa nayo kutoka Mythos'', anasema Waziri wa fedha wa Canada.
Ziara ya Rais Samia Urusi: Tulichojifunza na maswali mapya
Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiitembelea Urusi wiki hii, vichwa vya habari katika vyombo vya habari vya kimataifa, vinasomeka, “Rais wa Tanzania aitembelea Urusi, huku uhusiano na Magharibi ukizorota.”
Je, wanawake huwa na huruma kuliko wanaume?
Mazingira ambayo mtu anakulia na kuishi huchangia viwango vya huruma mtu huyo atakuwa nayo.
CCM kuna Yuda au ni homa ya urais 2030?
Mitandao ya kijamii nchini Tanzania imelipuka kwa mjadala kuhusu jina moja tu - "Yuda". Limeibuliwa na mwanasiasa Simai Mohammed Said. Yuda ni nani? Kwanini Simai ameamua kuzungumza sasa? Na kwa nini achague Bunge, badala ya vikao vya chama, kuwasilisha ujumbe huo?
Moto wafufua mjadala wa CCTV mashuleni, usalama kwanza au faragha?
"CCTV ni shahidi wa kimya, haiwezi kuzuia tukio kutokea, lakini inaweza kusaidia kubaini ukweli baada ya tukio kutokea'', anasema mtaalamu wa faragha ya data Philip Kisaka.
Kwanini Kim Jong-un huwa hamzungumzii mama yake?
Ko alifariki kabla ya Kim Jong-il, ila kifo chake katika hospitali moja mjini Paris hakikutajwa na vyombo vya habari vya Korea kaskazini.
Afrika kuanza kutumia Su-34M, ndege mpya za kivita za Urusi
Su-34M ni ndege ya kivita ya Urusi ambayo ni ya mashambulizi ya masafa marefu , iliyotengenezwa kwa ajili ya mashambulizi ya ardhini, baharini na pia kujilinda angani.
Kuanzia Makonda hadi Mafwele, hawa ni 'vigogo' 5 Afrika Mashariki waliopigwa marufuku kuingia Marekani
Nchi za Afrika Mashariki, zimekumbwa na vikwazo vya watu wake kuzuiwa kuingia Marekani huku majina makubwa ya kisiasa na kiusalama, kutoka Tanzania, Kenya, hadi Rwanda na Uganda yakiguswa.
Hifadhi za urani iliyorutubishwa za Iran ziko wapi?
Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) lilisema wakati huo kwamba Iran ndiyo nchi pekee isiyo na silaha za nyuklia duniani iliyofikia kiwango hicho cha juu cha urutubishaji.
Kutoka kivuli hadi alama ya nguvu duniani, Putin alijengaje taswira yake?
Kwa miaka mingi, Vladimir Putin ameibadilisha Urusi kutoka taifa lenye demokrasia changa na dhaifu kuwa dola yenye mfumo wa kiutawala wa kimabavu ambao kwa kiasi kikubwa umejengwa kumzunguka yeye kama rais.
Kauli tata za wanasiasa wanaohama vyama Tanzania
Ingawa kisheria kuhama chama ni haki ya kikatiba ya kila mwanasiasa, mjadala mkubwa hubaki kwenye maneno waliokuwa wakiyasema wakati wakiwa kwenye vyama wanavyovihama, maneno ambayo mara nyingi huonekana kugongana na hatua zao za baadaye.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 15 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 12 Juni 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 12 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 12 Juni 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
























































