Midoli ya ngono yatumwa kwa wanafunzi wa Chuo kikuu Canada

Chanzo cha picha, AFP
Muungano wa wanafunzi wa chuo kikuu nchini Canada wamepatwa na mshangao pale walipopokea mzigo wa kushangaza wa vifurushi vya midoli ya ngono mpaka taa .
Mizigo isiyotarajiwa iliyotumwa kupitia kampuni ya Amazon kwa watu zaidi ya kumi katika jumuiya hiyo ya wanafunzi.
Kuna ambao wamepokea mizigo mingi kama vifurushi 15 tangu mwezi Novemba,inayogharimu kiasi cha dola 1,000 kwa jumla.
Wengi walidhani kuwa ni mapambo yenye gharama kubwa lakini polisi wameanza uchunguzi juu ya suala hilo.
- http://bbc.com.im/swahili/habari-38401564%3C/a%3E%3C/li%3E%3Cli role="listitem" class="css-1maxgwy">http://bbc.com.im/swahili/habari/2016/05/160504_indonesia_sex_doll%3C/a%3E%3C/li%3E%3Cli role="listitem" class="css-1maxgwy">http://bbc.com.im/swahili/habari-39418134%3C/a%3E%3C/li%3E%3C/ul%3E%3C/div%3E%3Cdiv dir="ltr" class="css-1k9op6x e17x9cvu0">
Inasemekana kuwa mizigo hiyo inaweza kuwa ni njama za kibiashara kutoka nchini China.
Na kudai kuwa kwanza alidhani labda mzigo huo ni kwa ajili ya mfanyakazi wa chuo ndio ameagiza na anaona aibu kuudai,lakini alipobaini kuwa mzigo umeandikwa kwa ajili ya jumuiya ya wanafunzi nchini Canada, wakasema sawa,baada ya kusikia kuwa kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamepokea hivyo wakaona kuwa na kuna jambo linaloendelea.













