Ngamia wachuana vikali katika shindano la urembo la Qatar

Iliyochapishwa
Wakati Kombe la Dunia la soka la wanaume linapopamba moto nchini Qatar, shindano tofauti sana pia linafanyika nchini humo.
Ngamia kutoka mataifa ya Ghuba wanashiriki katika kile kinachojulikana kama "kombe la dunia la urembo wa ngamia".









