Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kombe la Dunia 2022:Kutana na Mkenya anayetamba Qatar kwa umarufu wa kazi yake
Iliyochapishwa
BBC imezugumza na wafuasi wa Abubakar Abbas, ambaye amekuwa maarufu kama 'mtu wa treni', kwa kuwaelekeza mashabiki kwenye Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar.
Abbas anatoka nchini Kenya, tangu kuanza kwa mashindano huko Qatar, video za namna ya uelekezaji wake zilisambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Mashabiki kutoka nchi mbalimbali wamekua wakisimama na kuchukua video za namna anavyofanya kazi zake.