Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kombe la Dunia 2022: Mambo muhimu katika Kombe la Dunia Qatar
Kombe la Dunia 2022: Mambo muhimu katika Kombe la Dunia Qatar
Iliyochapishwa
Michuano ya Kombe la Dunia ya FIFA ya 2022 itakuwa ya 22 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1930.
Itakua ya mwisho kushirikisha timu 32 kutafuta bingwa wa dunia kwa mataifa wanachama wa FIFA.
Michuano hii inayifanyika kila baada ya miaka minne, mwaka huu inafanyika Qatar, ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika katika nchi za kiarabu Mwanahabari wetu Paula Odek anatufahamisha mambo muhimu katika Kombe la Dunia ambalo litapigwa nchini Qatar.