Kwa picha: Tuzo za mpigapicha bora wa picha za Dunia Asilia
Iliyochapishwa
Wapigapicha kutoka kote duniani waliingia katika shindano la kuwania tuzo za mpigapicha bora wa dunia asilia, ambapo washiriki waliombwa kuwasilisha picha ambazo zinaonyesha maisha duniani na tisho llinaloikabiri sayari yetu. Picha zitakazoshinda zitaonyeshwa katka taasisi ya California Academy of Sciences iliyopo San Francisco, Marekani. Tuliangalia picha zilizoshinda na zilizofuzu mkiwemo zile za nyuki, popo anayepaa. Tazama:

Chanzo cha picha, Karine Aigner

Chanzo cha picha, Jose Grandio

Chanzo cha picha, Fitaram Raul

Chanzo cha picha, Sandesh Kadur

Chanzo cha picha, Tom Shlesinger

Chanzo cha picha, Tom st. George








