Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kwa picha: Tuzo za mpigapicha bora wa picha za Dunia Asilia
Iliyochapishwa
Wapigapicha kutoka kote duniani waliingia katika shindano la kuwania tuzo za mpigapicha bora wa dunia asilia, ambapo washiriki waliombwa kuwasilisha picha ambazo zinaonyesha maisha duniani na tisho llinaloikabiri sayari yetu. Picha zitakazoshinda zitaonyeshwa katka taasisi ya California Academy of Sciences iliyopo San Francisco, Marekani. Tuliangalia picha zilizoshinda na zilizofuzu mkiwemo zile za nyuki, popo anayepaa. Tazama: