Kwanini matusi ya mtandaoni hayakomeshwi?

Iliyochapishwa

Mimi ni ripota wa kwanza kwa BBC anayeshughulika na habari zisizo sahihi na huwa ninapata ujumbe wenye matusi katika mitandao ya kijamii kila siku. Asilimia kubwa ya ujumbe huu ni wa matusi ambao hauwezai kuchapishwa bila kusafishwa. Chanzo? Kuripoti kwangu kuhusu utata mitandaonia na habari feki. Ninatarajia kupingwa na kukosolewa lakini chuki ambayo inaelekezwa kwangu imekuwa jambo la kawaida.

Ujumbe unambtana na matusi kwa misingi ya jinsia, kuhusu ubakaji, kukatwa kichwa na vitendi vya ngono. Mengine yanasema kuwa mimia mwenyewe nimehusika na kubakwa watoto.

Sio mimi tu - kuanzia wanasiasa kote duniani na hata madaktari walio mstari wa mbele, nimekuwa nikipata habari kuhusu wanawake wanaokumbwa na chuki za ain hiyo. Utafiti mpya ambao pia ulitumwa kwa BBC unaonyesha kuwa wanawake wanakumbwa na matusi zaidi ya wanaume na mara nyingi yanaambatana na ubaguzi wa rangi na mapenzi.

Nilitaka kuelewa ni kwa nini hili hufanyika, hatari iliyopo ni ni kwa sababu gani mitandao ya kijamii, polisi na serikali hawachukui hatua. Kwa hivyo nikaamua kutengeneza filamu kwa kipindi cha Panorama cha BBC.

Tukafungua ukurasa feki kwenye mitandao mitano maarufu ya kijamii kuona iwapo wanapalilia chuki kwa watumiaji kama hao.Tukitumia picha feki tuliunda ukurasa sawa na watu walionitumia matusi. Ukurasa wetu ulitambua yote yanayoidhinishwa na mitandao ya kijamii lakini hakutuma ujumbe wowote wenye chuki.

Taasisi ya utafiti Demos ilingania matusi yanayolekwazwa kwa manyota wa vipindi vya runinga ikichunguza zaidi ya ujumbe 90,000.

Tulichogundua:

• Ukurasa wetu ulitumiwa ujumbe mwingi unaowanyanyasa wanawake na mitandao ya Facebook na Instagram ujumbe mwingine uliohusu dhuluma za kimapenzi .

• Wanawake manyota wa vipindi vya runinga wakiwemo wa mwaka huuwa wa kipindi cha Love Island hulengwa kwenye mitandao ya kijamii huku matusi sana sana yakihusu unyansaji wa wanawake na ubaguzi wa rangi.

• Barua kutoka Umoja wa Mataifa za kuzitaka kampuni za mitandao ya kijamii kuwalinda wanawake zimetumwa BBC .

Kursa zenye matusi hazifungwi

Kampuni za mitandao ya kijamii zinasema zinachukulia maanani chuki za mitandaoni dhidi ya wakawake na ziko na sheria za kuwalinda watumiaji kutokana na chuki. Hii ni pamoja na kuzuia au hata kufunga kurasa zinazosambaza chuki.

Lakini kulingaa na kile kimenikumba ni kuwa hawafanyi hivyo. Nikitoa ripoti kuhusu badhi ya ujumbe mbaya niliwai kupokea ikiwemo vitisho vya kuvamiwa nyumbani kwangu, kubakwa na vitendo vingine viofu kwa Facebook wakati nilivipokea.

Lakini miezi kadhaa baadaye, ukurasa huo bado ulikuwa kwa Facebook zikiwemo kurasa zingine kwenye mitandao ya Instagram na Twitter zilizokuwa zinanitumia matusi.

Inaonekana yaliyonikumba ni sehemu ya yanayofanyika.

Utafiti mpya na kituo kinachopambana na chuki mitandaoni unaonyesha kuwa asilimia 97 ya kurasa 330 zinazotuma matusi kwenye Twitter na Instagram bado zipo licha ya kuripotiwa.

Twitter na Instagram zinazema huchukua hatua wakati sheria zao zinakiukwa na kufunga kurasa kama hizo sio suluhu pekee.Kursa zenye matusi hazifungwi.

Kampuni za mitandao ya kijamii zinasema zinachukulia maanani chuki za mitandaoni dhidi ya wakawake na ziko na sheria za kuwalinda watumiaji kutokana na chuki. Hii ni pamoja na kuzuia au hata kufunga kurasa zinazosambaza chuki.

Lakini kulingaa na kile kimenikumba ni kuwa hawafanyi hivyo. Nikitoa ripoti kuhusu badhi ya ujumbe mbaya niliwai kupokea ikiwemo vitisho vya kuvamiwa nyumbani kwangu, kubakwa na vitendo vingine viofu kwa Facebook wakati nilivipokea.

Lakini miezi kadhaa baadaye, ukurasa huo bado ulikuwa kwa Facebook zikiwemo kurasa zingine kwenye mitandao ya Instagram na Twitter zilizokuwa zinanitumia matusi.

Inaonekana yaliyonikumba ni sehemu ya yanayofanyika

Utafiti mpya na kituo kinachopambana na chuki mitandaoni unaonyesha kuwa asilimia 97 ya kurasa 330 zinazotuma matusi kwenye Twitter na Instagram bado zipo licha ya kuripotiwa.

Twitter na Instagram zinazema huchukua hatua wakati sheria zao zinakiukwa na kufunga kurasa kama hizo sio suluhu pekee.