Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.

Bofya kuelekea tovuti kuu

Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data

Kombe la Dunia 2018: Ubelgiji 3-2 Japan

Kombe la Dunia 2018: Ubelgiji 3-2 Japan

Moja kwa moja

  1. Beki wa kutegemewa Mexico: Ayala, 09' Brazil 0-0 Mexico

    Hugo Ayala amewasahaulisha mashabiki wa Mexico kuhusu kutokuwepo kwa mlinzi Hector Moreno ambaye amekosa mchuano huu kwa kuwa na kadi mbili za njano.

    Amegeuka kuwa ukuta wa Mexico na kuwazuia Philippe Coutinho na Neymar.

    Moreno atarejea mechi ijayo, lakini ni iwapo Mexico itafuzu.

  2. Mshindi kukutana na Ubelgiji au Japana Ijumaa, 05' Brazil 0-0 Mexico

    Brazil au Mexico, itakayofanikiwa, itatua robo fainali, mechi itakayopigwa Ijumaa.

  3. Vikosi vyote; Brazil na Mexico, 02' Brazil 0-0 Mexico

    Brazil: Alisson, Fagner, Silva, Miranda, Luis, Casemiro, Paulinho, Willian, Coutinho, Neymar, Jesus.

    Wachezaji wa Akiba: Geromel, Augusto, Marcelo, Marquinhos, Danilo, Cassio, Fernandinho, Fred, Firmino, Taison, Moraes.

    Mexico: Ochoa, Alvarez, Salcedo, Ayala, Gallardo, Herrera, Marquez, Lozano, Vela, Guardado, Hernandez. Benchi la Mexico: Corona, Gutierrez, J. dos Santos, Layun, Fabian, Jimenez, G. dos Santos, Talavera, Corona, Peralta, Aquino.

  4. Mechi imeanza Samara Arena, raundi ya mchujo. Brazil V Mexico, 01' Brazil 0-0 Mexico.