Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Katika picha: Madhara yaliyojitokeza baada ya mlipuko wa Beirut
Iliyochapishwa
Mji wa Beirut, mji mkuu wa Lebanon, umetikisika kutokana na mlipuko, uliogharimu maisha ya watu na kusababisha majeraha kwa maelfu ya watu na uharibifu mkubwa.
Kuna Ripotikuwa mlipuko ulisikika umbali wa mamia ya kilomita visiwa vya Cyprus.
Maafisa wamelaumu mlipuko huo uliotokea kwenye karakana iliyotunza tani elfu kadhaa za kemikali ya ammonium nitrate kwa miaka sita.
Haijajulikana kitu gani hasa kilisababisha mlipuko huo.
All photos subject to copyright.