Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Hoteli ambayo sungura huenda kubembelezwa
Iliyochapishwa
Katika vibanda vyenye mazulia ya kifahari, mjini Chicago sasa ina hoteli ya sungura. Inatoa masaji ya sungura, vyakula bora na hata kusomewa hadithi wakati wa kulala. Hare BnB, katika jiji maarufu kwa Uwanja wa Ndege wa O'Hare, hutumia pesa inayopata kuwahifadhi wanyama hao wa kufugwa nyumbani.