BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
Moja kwa moja, Hamas yakubali kuweka silaha chini Gaza; Trump kutangaza mpango wa Bodi ya Amani
Afisa mwandamizi wa Hamas ameliambia shirika la habari la BBC kwamba kundi hilo limekubali mpango wa Bodi ya Amani wa kuweka silaha chini kabisa katika Ukanda wa Gaza.
Silaha au kujiondoa kwanza, ni uamuzi upi umesalia kwa Hezbollah?
Hezbollah inakabiliwa na mtihani mgumu zaidi wa kisiasa na kijeshi katika kipindi cha miaka mingi. Kufuatia hasara iliyopata katika uongozi na mfumo wake wa kijeshi
Israel inajenga vizuizi vipya Gaza na kuzihamisha familia kwa lazima
Hamas inaishutumu Israel kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano ya Oktoba kwa kuhamisha Mstari wa Njano kuelekea magharibi.
Saudi Arabia iko njia panda ikiwa katika juhudi za kujiweka mbali na vita vya Iran
Tangu Marekani na Israel zilipoanzisha vita dhidi ya Iran tarehe 28 Februari, Saudi Arabia kwa kiasi kikubwa imejitahidi kuepuka kujihusisha moja kwa moja na mzozo huo.
Zijue nchi 10 zenye furaha zaidi Afrika mwaka 2026
Kwa mujibu wa watafiti, ripoti hii inaonyesha kuwa maendeleo ya nchi hayawezi kupimwa kwa ukuaji wa uchumi pekee. Ubora wa maisha ya wananchi pia hutegemea mambo ya kijamii, kisiasa na kibinadamu ambayo mara nyingi ni magumu kupimika, lakini yana mchango mkubwa katika ustawi wa watu.
Klabu, pombe na elimu, ndani ya 'Drunken Lectures' jijini Nairobi
Mazingira ya klabu yanasemekana kuwa rahisi kwa watu kuelewa masuala muhimu katika jamii ambayo yanawahusu au kuwagusa moja kwa moja.
Kuna tofauti gani kati ya Freemason na Illuminati?
Illuminati ilianza kama "kundi la wasomaji" la siri la wanafunzi wa vyuo vikuu wanaopinga mafundisho ya kidini na waliojitolea kwa ugunduzi wa kisayansi.
Tetesi za Soka Ulaya: Man City yaongoza mbio za kumnasa Bouaddi
Manchester City ipo katika hatua za mwisho kumnasa Ayyoub Bouaddi, Klabu tatu za Ligi Kuu England zinamfuatilia mshambuliaji wa Chelsea Liam Delap.
Kutoka Ukraine hadi Zanzibar: Mgahawa uliozaliwa kutokana na vita
Alla, ambaye kabla ya vita alikuwa mhadhiri na baadaye Mkuu wa Kitivo (Dean) katika Chuo Kikuu cha Udaktari cha Kharkiv nchini Ukraine, alijikuta akishindwa kurejea nyumbani baada ya Urusi kuvamia Ukraine tarehe 24 Februari mwaka 2022.
Mazungumzo ya mkataba na Real Madrid na nia ya Arsenal - hatima ya Vinicius Jr ni ipi?
Huenda hakuna jambo la kuvutia zaidi katika masuala ya usajili kwa sasa kuliko hatima ya Vinicius Jr.
Tunajua nini kuhusu mapendekezo kwa Iran kuhusu Mlango bahari wa Hormuz?
Kusitishwa kwa mashambulio kati ya Iran na Marekani kumeimarisha juhudi za kidiplomasia na juhudi za wapatanishi za kutatua mizozo ya pande hizo mbili, kuu kwa sasa ni suala la usafiri wa meli katika Mlango Bahari wa Hormuz.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Heche adai viongozi 51 wa CHADEMA wamekamatwa, awataka mawakili kujiandaa
“Hata makande tutakula ili watoke,” alisema.
Nchimbi awaambia Watanzania: "Pambaneni mpate Katiba mpya"
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuendelea kudai kupatikana kwa Katiba mpya yenye maridhiano ya kitaifa, akisema ndiyo msingi wa kuimarisha haki za binadamu, utawala bora na demokrasia nchini.
Ukigundua miili 40,000 ilizikiwa chini ya nyumba yako utafanyaje?
Wanahistoria walikuwa wakijua kwa muda mrefu kuhusu uwepo wa makaburi hayo kupitia kumbukumbu za makanisa, lakini eneo lake halisi lilikuwa limepotelea chini ya ardhi wakati jiji lilipokuwa likipanuka.
'Baada ya kuthibitishwa kuwa nina ugonjwa huu nilitamani kufa'
Kulingana na Nduta ugonjwa huu una dalili zaidi ya 40 na kila mmoja ana dalili zake. Lakini anachokijua ni kwamba kadiri miaka inavyoongezeka ndivyo hali ya ugonjwa huu inavyoendelea kuwa mbaya.
Nchi sita zinazowavutia watalii zaidi barani Afrika
Sawa na maeneo mengine ya duniani, Afrika inaendelea kuwavutia watalii wa kimataifa mwaka wa 2026.
Mlima Kallang uko wapi na kwa nini Trump anautolea vitisho vya kuushambulia?
Katika vitisho vyake vya hivi karibuni dhidi ya Iran, Rais wa Marekani Donald Trump amelitaja eneo ambalo halijulikani sana ikilinganishwa na vituo vingine vya nyuklia, "Koh Kalang," eneo la chini ya ardhi lililo karibu na kituo cha nyuklia cha Natanz.
Freemasons waelezea taratibu zao na faida za kuwa mwanachama
Kuanzia salamu za siri za mikono na kukunja ncha za suruali hadi tuhuma za upendeleo kwa watu wa karibu, uonevu na kukandamiza mageuzi, sifa ya Freemasons haijawahi kuwa nzuri wakati wote.
Jumuiya ya Madola yapendekeza kesi ya Tundu Lissu 'imalizwe' ndani ya siku 30
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu
Kwa nini Austria ilibadilisha mahali alipozaliwa Hitler kuwa kituo cha polisi?
Austria imefungua kituo cha polisi katika nyumba ambayo Adolf Hitler alizaliwa. Jengo hilo liko katika mji wa Braunau am Inn, ulioko kaskazini mwa Austria, ambao una wakazi wapatao 17,000.
Vyuo 10 bora Afrika Mashariki 2026
Elimu inasalia kuwa mojawapo ya vichocheo muhimu zaidi vya maendeleo kote Afrika, na Afrika Mashariki haijabaguliwa.
Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
Mwaka wa 2026 umeshuhudia visa vya kutisha vya uhuni ambavyo mpaka leo ni wachache ambao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani kukabiliwa na mashtaka.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 31 Julai 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 31 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 31 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 30 Julai 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































