BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Saudi yaungana na Marekani kushambulia wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran
Marekani ilisema shambulio hilo lilitokea saa 17:45 EDT (21:45 GMT) Jumanne huku Iran ikisema ililenga kambi ya Marekani nchini Jordan.
Kwa nini ujenzi wa msikiti nchini Japan umezua utata?
Mipango ya kujenga kituo cha Kiislamu katika Fujisawa, mji tulivu wa pwani ulio takribani saa moja kwa gari kusini mwa Tokyo, imeibua hisia tofauti miongoni mwa wakazi.
Dalili ndogo 5 ambazo watu wengi huzipuuzia, lakini zinaweza kuashiria ugonjwa mkubwa
Mabadiliko mwilini huanza taratibu na huweza kuchukuliwa kuwa uchovu wa kawaida au mabadiliko ya maisha ya kila siku. Hata hivyo, zinaweza kuwa onyo la mapema kwamba mwili unapitia hali isiyo ya kawaida inayohitaji uchunguzi wa kitaalamu.
Wanawake 6 wenye ushawishi mkubwa zaidi Afrika
Kulingana na McKinsey na Lean In, ni asilimia 54 pekee ya kampuni zimeweka kipaumbele ya kuwasaidia wafanyakazi wanawake kupanda ngazi za uongozi, ikilinganishwa na asilimia 90 miaka minne iliyopita.
Kwa nini mpenzi wa kwanza hawezi kusahaulika?
Kwa watu wengi, kupendwa kwa mara ya kwanza ni jambo wanalokumbuka kwamuda mrefu maishani.
Magenge ya Mexico yageuza Afrika kitovu cha uzalishaji wa dawa za kulevya
ambao mara nyingi huitwa "wapishi", wanazidi kufanya kazi pamoja na wenyeji katika maabara zilizoko Ulaya na Afrika.
Ghana yaomboleza kifo cha mwanaume mrefu zaidi nchini humo
"Kila mtu alijua jinsi alivyokuwa mkarimu na mwenye moyo mwema.
Kusitishwa ghafla kwa mashambulizi kati ya Marekani na Iran; vyombo vya habari vinasemaje?
Siku mbili baada ya kusitishwa ghafla kwa mashambulizi ya kulipizana kati ya Marekani na Iran, ripoti zimeibuka zikidai kuwa kusitishwa huko kulikuwa uamuzi wa moja kwa moja wa Rais Donald Trump.
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Barcola akubali kuhamia Liverpool
Kuhamia kwa Barcola kwenda Liverpool kunaweza kusababisha mabingwa wa Ligue 1 PSG kujaribu kuipiku Real Madrid ili kumsajili winga wa Ivory Coast Yan Diomande, 19, kutoka RB Leipzig
Kwa nini Austria ilibadilisha mahali alipozaliwa Hitler kuwa kituo cha polisi?
Austria imefungua kituo cha polisi katika nyumba ambayo Adolf Hitler alizaliwa. Jengo hilo liko katika mji wa Braunau am Inn, ulioko kaskazini mwa Austria, ambao una wakazi wapatao 17,000.
Traoré na ndoto ya kuifanya dhahabu kuwa injini ya uchumi wa Burkina Faso
Burkina Faso imepata dhahabu yenye thamani ya zaidi ya dola bilioni 6 kupitia njia rasmi katika nusu ya kwanza ya 2026, huku serikali inayoongozwa na jeshi ikizidisha juhudi za kurasimisha uchimbaji madini
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Nchimbi awaambia Watanzania: "Pambaneni mpate Katiba mpya"
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuendelea kudai kupatikana kwa Katiba mpya yenye maridhiano ya kitaifa, akisema ndiyo msingi wa kuimarisha haki za binadamu, utawala bora na demokrasia nchini.
Ukigundua miili 40,000 ilizikiwa chini ya nyumba yako utafanyaje?
Wanahistoria walikuwa wakijua kwa muda mrefu kuhusu uwepo wa makaburi hayo kupitia kumbukumbu za makanisa, lakini eneo lake halisi lilikuwa limepotelea chini ya ardhi wakati jiji lilipokuwa likipanuka.
'Baada ya kuthibitishwa kuwa nina ugonjwa huu nilitamani kufa'
Kulingana na Nduta ugonjwa huu una dalili zaidi ya 40 na kila mmoja ana dalili zake. Lakini anachokijua ni kwamba kadiri miaka inavyoongezeka ndivyo hali ya ugonjwa huu inavyoendelea kuwa mbaya.
Nchi sita zinazowavutia watalii zaidi barani Afrika
Sawa na maeneo mengine ya duniani, Afrika inaendelea kuwavutia watalii wa kimataifa mwaka wa 2026.
Mlima Kallang uko wapi na kwa nini Trump anautolea vitisho vya kuushambulia?
Katika vitisho vyake vya hivi karibuni dhidi ya Iran, Rais wa Marekani Donald Trump amelitaja eneo ambalo halijulikani sana ikilinganishwa na vituo vingine vya nyuklia, "Koh Kalang," eneo la chini ya ardhi lililo karibu na kituo cha nyuklia cha Natanz.
Freemasons waelezea taratibu zao na faida za kuwa mwanachama
Kuanzia salamu za siri za mikono na kukunja ncha za suruali hadi tuhuma za upendeleo kwa watu wa karibu, uonevu na kukandamiza mageuzi, sifa ya Freemasons haijawahi kuwa nzuri wakati wote.
Jumuiya ya Madola yapendekeza kesi ya Tundu Lissu 'imalizwe' ndani ya siku 30
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu
Vyuo 10 bora Afrika Mashariki 2026
Elimu inasalia kuwa mojawapo ya vichocheo muhimu zaidi vya maendeleo kote Afrika, na Afrika Mashariki haijabaguliwa.
Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
Mwaka wa 2026 umeshuhudia visa vya kutisha vya uhuni ambavyo mpaka leo ni wachache ambao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani kukabiliwa na mashtaka.
Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei yuko wapi?
Mojtaba Khamenei, ambaye alitangazwa kuteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, ndani ya wiki moja tangu kuuawa kwa baba yake, bado hajaonekana hadharani.
Kwa nini wanaume na wanawake wana sauti tofauti?
Ili kuelewa ni kwa nini wanaume na wanawake wana sauti tofauti, tunapaswa kuangalia kwanza injini kuu ya sauti: zoloto au kisanduku cha sauti na mikunjo inayosababisha sauti iliyo ndani yake.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 29 Julai 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 29 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 29 Julai 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 28 Julai 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































