Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.

Bofya kuelekea tovuti kuu

Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data

Wachezaji waliosajiliwa dakika za mwisho England

Kandarasi zote mpya kabla ya dakika ya mwisho ya dirisha la uhamisho England

Moja kwa moja

  1. Man City inakaribia kukamilisha uhamisho wa Scott Carson kutoka Derby County

  2. Je Dybala anaelekea kujiunga na Tottenham?

  3. West Brom inafanya mazungumzo kumsajili Charlie Austin

  4. Je Maguire ana thamani ya £80m?

    Miaka mitano iliyopita Harry Maguire alikuwa akicheza katika ligi ya daraja la kwanza .

    Sasa ndiye beki ghali zaidi dunia. Je Maguire ana thamani ya £80m.

  5. Kalvin Phillips anaelekea Sheff Utd?

  6. Natumai hamjambo