Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Tanzania na Kenya zalazwa Afcon
Ni mechi zitakazoamua iwapo kenya itaendelea na michuano hiyo ya Afcon ama itafunga virago na Tanzania na kuyaaga mashindano hayo
Moja kwa moja
lalala kenya wanakosa goli la wazi hapa
Olungaaaaaaa kidogo acheke na wavu
Kenya 0-0 Senegal
Dakika 6
Kenya inafanya mashambulizi yake ya kwanza dhidi ya Senegal
Tanzania inaanza na kasi dhidi ya Algeria hapa
Na mechi zote mbili zinaanza wakati mmoja
Shabiki wa Tanzania mwenye matumaini
Muda wowote kuanzia sasa mechi zitaanza
Nyimbo za taifa za Kenya na Tanzania
Wachezaji wa Kenya
Wachezaji wa Tanzania wakifanya mazoezi
Kikosi cha Tanzania
Kenya vs Senegal Tanzania vs Algeria
Ni siku nyengine tena ambapo timu mbili za Afrika mashariki zinajibwaga uwanjani katika mechi zitakazoamua iwapo zitasalia katika kinyanganyiro hicho ama zitakwenda nyumbani
Natumai hamjambo