Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.

Bofya kuelekea tovuti kuu

Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data

Tanzania na Kenya zalazwa Afcon

Ni mechi zitakazoamua iwapo kenya itaendelea na michuano hiyo ya Afcon ama itafunga virago na Tanzania na kuyaaga mashindano hayo

Moja kwa moja

  1. Mabadiliko upande wa Tanzania

  2. Kipindi cha pili kinaanza

    Algeria 3-0 Tanzania

    Kenya 0-0 Senegal

  3. Kenya 0-0 Senegal

  4. Algeria 3-0 Tanzania

  5. Na kipindi cha kwanza kinakamilika

  6. Gooooooal Algeria wanapata bao la tatu dhidi ya Tanzania

  7. Kipindi cha kwanza kinakaribia kukatika

    Tanzania 0-1 Algeria

    Kenya 0-0 Senegala

  8. Tanzania 0-2 Algeria

    Hii inamaanisha kwamba wajukuu hawa wa mwanzilishi wa taifa la Tanzania Juluis kambarage Nyerere wanakwenda nyumbani

  9. Goooooooal Algeria wanafunga goli la

  10. Mashabiki wa Algeria wanasherehekea bao la timu yao

  11. Algeria 1-0 Tanzania

  12. Gooooooooal Algeria 1-0 Tanzania

    Slimane aifungia Algeria kunako dakika ya 53

  13. Tanzania wanaizuilia Algeria hapa

  14. Mane anapigaaaaaa kipa anachukua hapa

    Lo Kipa matasi anadaka mpira

  15. Penalti Senegal wanapata hapa

  16. Sadio Mane anajaribu kupenya lango la kenya lakini wanakataa walinzi

  17. Tanzania wanaonyesha mchezo mzuri dhidi ya Algeria

    Wanafanya mashambulizi vijana wa Magufuli hawa

  18. Algeria tayari wamefuzu katika kundi hili

  19. Dakika ya 10

    Tanzania 0-0 Algeria

    Kenya 0-0 Senegal

  20. Algeria wakosa goli la wazi hapa

    dakika ya 9

    Algeria 0-0 Tanzania