Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Tanzania na Kenya zalazwa Afcon
Ni mechi zitakazoamua iwapo kenya itaendelea na michuano hiyo ya Afcon ama itafunga virago na Tanzania na kuyaaga mashindano hayo
Moja kwa moja
Algeria walaza Tanzania 3-0
Senegal yafuzu
Mchezaji bora wa Mechi
Sadio Mane
Takwimu Kenya vs Senegal
Takwimu Tanzania vs Algeria
Na mchezo unakamilika
Kenya na Tanzania wanafunga Virango afcon
Tanzania wakosa bao la kufutia machozi
Senegal 3-0 Kenya
Senegal wanapata penalti na mchezaji wa kenya anapigwa kadi nyekundu
Sadio maneeeeeee goooooal anaifungia Senegal bao lake la tatu
Sadio Mane anafunga
Kenya 0-2 Senegal
Mashabiki wa Algeria
Senegal wainyamazisha Kenya
Senegal 1-0 Kenya
Goooooooal Senegal wanafunga goli hapa
Kenya inafanya mashambulizi katika lango la Senegal
Sadio Mane anapigwa kadi ya njano
Kipa matasi anaiokolea Kenya kwa mara nyengine
Algeria 3-0 Tanzania