Beki wa kutegemewa Mexico: Ayala, 09' Brazil 0-0 Mexico
Hugo Ayala amewasahaulisha mashabiki wa Mexico kuhusu kutokuwepo kwa mlinzi Hector Moreno ambaye amekosa mchuano huu kwa kuwa na kadi mbili za njano.
Amegeuka kuwa ukuta wa Mexico na kuwazuia Philippe Coutinho na Neymar.
Moreno atarejea mechi ijayo, lakini ni iwapo Mexico itafuzu.
