Mwenyekiti wa
tume ya uchaguzi nchini DRC (CENI) Denis Kadima amesema kuwa wapiga kura wote
waliosajiliwa rasmi wataruhusiwa kushiriki katika uchaguzi mkuu utakaofanyika wiki
ijayo hata ikiwa kadi za kupigia kura zimeharabika.
Kuali hiyo ya CENI imeungwa mkono na na uamuzi wa mahakama ya katiba ambayo imeyakataa madai yote ya kuahirisha uchaguzi yaliyotolewa na wagombea urais wa upinzani.
Mahakama imesema kuwa madai yao hayana msingi na mchakato wa uchaguzi
utaendelea kama ilivyopangwa.
Kumękuwa na
wasi wasi kuwa idadi kubwa ya wapiga kura huenda wasishiriki uchaguzi baada ya maelezo
kwenye kadi zao kufutika.
Tume ya
uchaguzi imekuwa ikiendesha shughuli ya kuwapa wapiga kura wałiosajiliwa kadi
mpya ikiwa kadi żao zimeharika łakini zoezi lenyewe limekuwa likienda pole pole
kutokana na idadi kubwa ya watu waliojitokeza ili kupata kadi mpya.
Kadima
ameongeza kuwa hadi sasa hawajafanikiwa kupata ndege za kutosha kusafirisha
vifaa vitakavyotumika wakati wa uchaguzii hadi maeneo yote.
Siku mbili zilizopita CENI iliiandikia
serikali ya DRC na Umoja wa Mataifa kuipa misaada ya ndege ili kufanikisha
shughuli ya kusafirisha vifaa vya kupigia kura.
Licha ya
hayo amesema kuwa CENI Inafanya kila Liwezalo ili uchaguzi mkuu uendelee kama
ilivyopangwa.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchinii DRC
Denis kadima amesema kuwa wapiga kura wote waliosajiliwa rasmi wataruhusiwa
kushiriki Karola uchaguzi mkuu utakaofanyika Wiki ijayo hata ikiwa kadi ZSP za
kupigia kura zimerabika.
Kumę kuwa na
wasi wasi kuwa Idadi kubwa ya wapiga kura huenda wasishiriki baada ya Maelezo
kwenye kadi zao kufutika. Tume ya uchaguzi imekuwa ikiendesha shughuli ya
kuwapa wapiga kura wałiosajiliwa kadi mpya ikiwa kadi żao zimeharika łakini
zoezi lenyewe limekuwa likienda pole pole kutokana na Idadi kubwa ya watu
waliojitokeza ili kupata kadi mpya.
Kadima
ameongeza kuwa hadi sasa hawajafanikiwa kupata Ndege za kutosha kusafirisha
vifaa vitakavyotumika wakati wa uchaguzii hadi Maeneo yote. Siku mbili
zilizopita CENI iliandikia serikali ya DRC na Umoja wa Mataifa kuipa misaada ya
ndege ili kufanikisha shughuli ya kusafirisha vifaa vya kupigia kura.
Licha ya
hayo amesema kuwa CENI inafanya kila liwezalo ili uchaguzi mkuu uendelee kama
ilivyopangwa.
Uchaguzi 2023 DRC: soma zaidi
-
Uchaguzi wa Urais DRC: mwongozo kamili wa kuuelewa uchaguzi wa Disemba 2023
-
Uchaguzi wa DRC 2023: "Tusifikirie kuwa kazi ya makanisa ni kupinga utawala uliopo" - Mchungaji Eric Senga
-
Uchaguzi wa DR Congo:‘Kama ungekuwa uamuzi wetu, tungepiga kura kupata amani
-
Uchaguzi wa DRC 2023: Félix Tshisekedi, mwanafikra aliyetaka kuibadilisha DRC kuwa nchi ya ndoto
-
Uchaguzi wa DRC 2023: Unachohitaji kujua
-
Martin Fayulu, Mwanasiasa wa upinzani wa DRC asiyetetereka