Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.

Bofya kuelekea tovuti kuu

Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data

Ofisi ya Bobi Wine yavamiwa Uganda

Ofisi ya chama cha mgombea wa Urais nchini Robert Kyagulanyi, al maarufu Bobi imevamiwa na makumi ya wanajeshi wenye silaha pamoja na maafisa wa polisi.

Moja kwa moja

Dinah Gahamanyi

  1. Na mpaka hapo ndio tunafikia mwisho wa matangazo yetu ya moja kwa moja wa leo, tukutane tena hapo kesho.

  2. Je nini kilichomkera Kim Jong-un wakati wa hotuba?

  3. Ofisi ya Bobi Wine yavamiwa

  4. Moto uliowaka katika Mlima Kilimanjaro umedhibitiwa, asema Waziri Kigwangala

  5. , Facebook 'kukabiliana na taarifa za upotoshaji' kabla ya uchaguzi wa Tanzania

  6. Wanasayansi waonya juu ya kutokea kwa ‘mkasa mwingine wa volkano’ DRC

  7. Kikosi kipya cha polisi chaundwa kuchukua nafasi ya kikosi 'katili' Nigeria

  8. Rwanda yahalalisha mauzo ya nje ya bangi kwa matumizi ya dawa