Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Algeria wailaza Senegal kushinda ubingwa wa Afcon 2019
Timu ya taifa ya Algeria imeilaza Senegal katika fainali za kombe la Afcon mjini Cairo
Moja kwa moja
, Sherehe za afcon
Gooooooal Algeria inajipatia bao la kwanza
Algeria 1-0 Senegal
Mechi inaanza
Algeria 0-0 Senegal
Algeria vs Senegal
Mashabiki wakipeperusha bendere za timu zote mbili
Maandalizi ya mwisho mwisho
Wachezaji wa kila timu watakaoshiriki
Natumai hamjambo