Anapiga na kipa ananyaka
Alimlenga kipa baada ya mpira hule kuvuka ukuta uliowekwa na wachezaji wa Algeria
Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Timu ya taifa ya Algeria imeilaza Senegal katika fainali za kombe la Afcon mjini Cairo
Alimlenga kipa baada ya mpira hule kuvuka ukuta uliowekwa na wachezaji wa Algeria
Nilitazama mechi ya kutafuta mshindi wa tatu na goli lililofungwa mapema ndilo lililoamua matokeo
Je bao la pili la Algeria litakamilisha matokeo ya mechi hii?
Sio kana kwamba wanaonekana kwamba wataongeza goli.
Wanafanya mashambulizi ambayo hayajazaa matunda
Dakika 48
Algeria 1-0 Senegal