Hujambo!
Karibu katika matangazo ya moja moja kuhusu Kimbunga Kenneth ambacho mamlaka ya hali ya hewa imeeleza kinatarajiwa kutuwa pwani ya kusini ya Tanzania na kaskazini mwa Msumbiji hii leo Alhamisi
Kasi imepungua ya kimbunga Kenneth na upepo wake, hatahivyo mvua kubwa bado inatarajiwa katika utabiri wa siku zijazo.