Kulenga miundombinu ya kiraia ni uhalifu wa kivita - Balozi wa Iran katika UN
Balozi huyo wa Iran pia alionya kwamba iwapo Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama havitachukua hatua madhubuti, "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina haki yake, kwa mujibu wa sheria za kimataifa, ya kuchukua hatua zote zinazohitajika ili kulinda mamlaka yake.
Muhtasari
- Ujerumani yaripoti kuongezeka kwa vitisho vya kiusalama
- Serikali ya Kenya yakabiliana na wadukuzi wa Tovuti rasmi ya Rais
- Iran: Siasa ya "vita na mazungumzo kwa pamoja" imefikia mwisho
- Katika Picha: Rais wa Misri akikagua Gwaride la Jeshi la Tanzania
- Maghala ya biashara ya mtandaoni Urusi yalengwa katika mashambulizi ya Ukraine
- Tulizuia na kudungua makombora kumi ya Iran - Jordan
- Tovuti Rasmi ya Rais Ruto yadukuliwa
- Shirika la ndege la Kuwait labadilisha ratiba ya safari zake nyingi za ndege
- Kituo cha kuondoa chumvi kwenye maji chaharibiwa kabisa Iran
- Argentina VS Uhispania: Ni kikosi kipi chenye safu kali ya ushambulizi kufunga mabao?
- Matukio yakuvutia katika michuano ya Kombe la Dunia 2026
- Kombe la Dunia: Marekani yatetea bango la wachezaji wa Argentina
- Tumelenga kituo cha Marekani na madaraja kadhaa nchini Bahrain - Iran
- Mwanaharakati wa India aliyegoma kula kwa siku 20 apelekwa hospitalini kwa nguvu
- Marekani yaishambulia Iran kwa usiku wa saba mfululizo


















