Fahamu majanga yaliyoikumba dunia 2020, mwaka ulikuwa mwaka mbaya katika historia?

Iliyochapishwa
Muda wa kusoma: Dakika 3

Kwa wengi wetu , 2020 ni mwaka wa misukosuko, magumu huku wengine wakiona janga la corona likiufanya mwaka huu kuwa mgumu zaidi ya miaka yote.

Lakini ukiangalia uzoefu huenda mwaka huu unaashiria kwamba mambo huenda yakawa mabaya zaidi siku za usoni.

Ukiangalia miaka ya nyuma ya historia inatuonesha kuwa mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi, lakini , lazima tuangalie mafanikio tuliyoyapata. Ruangalia mambo ya kuhuzunisha na mazuri yaliyotokea mwaka 2020 tkulinganisha na maiaka ya nyuma.

Mwaka 2020, maelfu ya watu walikufa kutokana na magonjwa ya moyo uliotokana na cporona.

Kufikia tarehe 17 Disemba , Corona ilikuwa imewaathiri zaidi ya watu milioni 74.5 na kuwauwa watu zaidi ya milioni 1.6 kote dunia , kwa kujibu wa data zilizokusanwa na Chuo Kikuu cha ohns Hopkins.

Lakini athari zake bado hazijaisha.

Pigo kubwa la watu walioaga dunia walikuwa lilikuwa ni la watu weysi , ambalo liliwauwa watu milioni 25 barani Ulaya na kuwauwa watu milioni 200 mwaka 1346.

Mafua ya Uhispania au Spanish Flu yaliikumba dunia nzima 1918, na kusambaa miongoni mwa wanajeshi baada ya kurejea kutoka katika Vita ya Kwanza ya Dunia , na kuwauwa watu milioni 50.

Idadi hii ni sawa na asilimia 3-5 ya watu wote duniani.

HIV na Ukimwi umekwishawauwa watu zaidi ya milioni 32 mtangu ilipoibuka miaka ya 1980.

Kufikia mwishoni mwa mwaka 2020, watu wengi watakuwa wamepoteza ajira.

Virusi vya Corona vimeathiri pakubwa 'uchumi wa dunia, na kuyaathiri maisha ya watu duniani.

Hatahivyo, idadi ya vifo bado ni ndogo kuliko ile ya watu waliokufa kutokana na mzozo wa dunia wa uchumi ulioikumba dunia baina ya kwama 1929 na 1933 .

Mwaka 2020, sikuweza kuwaona marafiki zangu

Ni kweli kwamba kipindi kikubwa cha mwaka huu watu wengi waliishi muda mwingi ndani ya ngumba zao, mbali na marafiki na jamaa zao

Watu 536 hawakuliona anga

Hatahivyo janga lingine kubwa lilikumba maeneo ya dunia kama vile Ulaya , Mashariki ya kati na na Asia lilikuwa ni athari za ngurumo ya radi iliyopiga maeneo hayo na kusababisha giza la mchana na usiku kwa takriban miezi 18, kwa mujibu wa mwanahistoria wa Harvard na mwanaakiolojia Michael McCormick. Watu 536 hawakuliona jua

Kipindi hiki kilikuwa ni kibaya zaidi, kwa mujibu wa wataalamu.

Mnamo mwaka 2020, mlipuko uliiharibu bandari ya Beirut.

Mlipuko ambao haukutarajiwa wa takriban tani 2,750 wa kemikali ya ammonium nitrate tarehe 4 mwezi Agosti uliwauwa watu wapatao 190 , na wengine zaidi ya 6,000 walijeruhiwa.

Ulikuwa ni mojawapo ya milipuko mkubwa zaidi ambao haikutarajiwa katika hiostoria ya dunia, na wataalamu wanasema idadi ya kemikali iliyosababisha mlipuko huo ilifikia kiwango cha kilogramu TNT, karibu mara 20 ya bomu ambalo Aaka ililirusha katika eneo la Hiroshima.

Lakini mwezi wa Disemba 1984, maelfu ya watu katika mji wa India wa Bhopal walikufa kutokana na kulipuka kwa kuvuja kwa kemikali kutoka katika kiwanda, ambacho pia kilikuwa ni moawapo ya ya mikasa mibaya zaidi ya viwanda kuwahi kushudiwa katika historia.

Serikali ya India ilisema kuwa watu takriban 3,500 walikufa , huku zaidi ya 15,000 wakiuawa katika miaka iliyofuatia kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa mapafu uliotokana na mkasa huo.

Tangu wakati huo ilitangazwa kuwa jimbo hilo litakabiliwa na janga la mapafu la miaka kadhaa, lakini kuwa watu wachache ambao bado wanaishi na ugonjwa huo.

Unaweza pia kutazama: