Virusi vya Corona: Habari katika picha

A woman wears a white face mask and covers her hair with an orange fabric.

Chanzo cha picha, Reuters

Iliyochapishwa
Two children stand at the window holding their drawing of what they miss most - their illustrations show rainbows and ice-cream vans.

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Watoto wawili ndugu wakiwa wanachungulia dirishani mwa nyumbani kwao mjini Cape Town, Afrika Kusini wakiwa katika marufuku ya kutoka nje.Mmoja amechora gari la barafu(Ice cream) na mwingine upinde
Two boys play board games inside a residential apartment.

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Watoto wengine wakiwa wanacheza mchezo wa kwenye bao mjini Kinshasa, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
A child stands next to a cartoon depiction of Covid-19.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Mjini Nairobi , mchoro unaoonyesha kirusi cha corona kinavyofanana na kilivyo hatari
kiwanda

Chanzo cha picha, AFP

Women wear face masks with kente and wax print designs as they walk through a market.

Chanzo cha picha, AFP

A man speaks to the camera and holds up three fingers, in front of a green screen.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Walimu wajirekodi kwenye televisheni wakati shule zikiwa zimefungwa nchini Ivory Coast
Students in blue overalls, some of whom are wearing masks, sit in a classroom.

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Shule nchini Madagascar, zimefunguliwa na wanafunzi wakiwa wamekaa kwa mbali
A customer wearing a face mask walks near seats at an outdoor market set up by the Algerian government to prevent crowding inside supermarkets.

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Viti vikiwa vimewekwa nje ya soko katika mji mkuu wa Algeria
Wateja wanatakiwa kulipa bidhaa kwa kutumia mihamala ya simu baada ya kutoa fedha

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Wateja wanatakiwa kulipa bidhaa kwa kutumia mihamala ya simu baada ya kutoa fedha
Men in a kitchen in Johannesburg prepare large bags full of uncooked sausages.

Chanzo cha picha, AFP

Pictures from Getty Images, AFP, EPA and Reuters.