Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mwanamziki Brian May amekosoa uhaba wa vifaa vya kupima corona
Iliyochapishwa
Mwanamuziki wa Uingereza Brian May amesema kushindwa kununua vifaa muhimu vya kujikinga na maradhi ya Covid-19 ni swala la kuvunja moyo na kuogofya. Brian aliambia BBC kwamba ana hasira na huzuni kwamba wafanyikazi wa huduma ya afya walitarajiwa kuhatarisha maisha yao na kushughulikia wagonjwa bila kinga muhimu.