Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
'Mwanzo waliona huyu dada ni muongo anatafuta umaarufu hana Virusi vya UKIMWI'
Iliyochapishwa
Cherry Abraham @mentor_cherry ni kijana anayeishi na maambukizi ya virusi vya Ukimwi aliyejizolea umaarufu kupitia mitandao ya kijami, kutokana na mfumo wa uhamashaji wake kuhusu elimu dhidi ya virusi vya Ukimwi anayoitoa kwa jamii.
Kwa sasa anaishi na mwenzi wake @jamaa_17 ambaye yeye hana maabukizi.
Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda alikutana na @mentor_cherry na mwenza wake @jamaa_17 na kuandaa taarifa hii.
Video: @eagansalla_gifted_sounds