Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
‘Hofu ya wananchi si ya bure ni hofu halali ni hofu ya haki’
‘Hofu ya wananchi si ya bure ni hofu halali ni hofu ya haki’
Iliyochapishwa
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema tayari imedhihirika kuwa suala la Katiba mpya ya Tanzania ni lazima hivyo linalohitajika sasa ni kuamua namna ya kutekeleza hitaji la watanzania lililobainishwa katika ripoti mbalimbali.
Kiongozi huyo wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar ameiambia BBC katika mahojiano maalumu na mwandishi wetu Roncliffe Odit kuwa tayari Watanzania wamejifunza masuala mengi yanayohitaji muongozo madhubuti wa Katiba mpya.