Ukraine yashambulia Moscow

Ukraine yashambulia Moscow
Iliyochapishwa

Ukraine imefanya shambulio lake kubwa zaidi la droni dhidi ya Moscow katika kipindi cha miaka miwili siku ya Alhamisi.

Kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Urusi TASS, shambulio hilo lilisababisha uharibifu wa miundombinu na mabaki ya droni kuanguka katika maeneo mbalimbali ya mji mkuu wa Moscow.