AFCON 2023: Tanzania yapokwa ‘tonge mdomoni’ na Zambia

Chanzo cha picha, Getty Images
Na Athuman Mtulya
Mhariri, BBC Swahili
Bao la dakika ya 88 la Zambia limefuta matumaini ya Tanzania kuandikisha ushindi wa kwanza katika michuano ya kombe la mataifa ya Afrika (Afcon).
Tanzania iliandikisha goli la kwanza katika dakika ya 11 kupitia winga wake wa kimataifa Simon Msuva akiunganisha pasi maridhawa kutoka kwa nahodha Mbwana Samatta.
Zambia ilipata pigo kwa kutolewa kwa kadi nyekundu kwa nahodha wao Rodrick Kabwe katika dakika ya 44.
Tanzania iliendelea kuutawala mchezo huo na kukosa nafasi kadhaa za wazi kuongeza goli la pili wakati Zambia ikicheza mchezo wa kujilinda zaidi na kufanya mashambulizi ya kushtukiza.
Mashambulizi hayo ya kushtukiza yalizaa matunda katika dakika ya 88 ambapo mshambuliaji wa klabu ya Leicester City ya England Patson Daka alipofunga bao la kusawazisha kwa kichwa kikali akiunganisha krosi ya Clatous Chota Chama anayechezea klabu ya Simba ya Tanzania.
Hii ni sare ya pili kwa Tanzania katika michuano ya AFCON. Sare ya kwanza waliipata kwa Ivory Coast katika michuano ya mwaka 1980 ambapo magoli yalikuwa 1-1. Katika michuano ya mwaka 2019 Tanzania ilipoteza michezo yote mitatu.
Kwa matokeo hayo sasa Tanzania inaendelea kushikilia mkia wa kundi Fwakiwa na alama moja huku Zambia na DRC wakiwa na alama mbili kila mmoja na kinara wa kundi ni Morocco wenye alama nne. Morocco na DRC walitoka sare ya 1-1 katika mchezo wa awali wa kundi hilo.
Tanzania sasa itaminyana na DRC siku ya Jumatano katika mchezo wa mwisho wa makundi, Morocco na Zambia pia wataminyana siku hiyo. Mpaka sasa hakuna timu yoyote katika kundi hilo ambayo imekata tiketi ya kucheza katika hatua ifuatayo.
Kombe la Mataifa ya Afrika 2023
- P - Imecheza
- W - Imeshinda
- L - Imeshindwa
- D - Imetoka Sare
- GD - Tofauti ya bao
- Pts - Alama
-
-
Kundi A
Nchi P W L D GD Pts Equatorial Guinea 3 2 0 1 6 7 Nigeria 3 2 0 1 2 7 Ivory Coast 3 1 2 0 -3 3 Guinea Bissau 3 0 3 0 -5 0 -
13/01/2024, 20:00Ivory Coast 2-0 Guinea Bissau-(Penati)(Uwanja wa Olympique Alassane Ouattara)
-
14/01/2024, 14:00Nigeria 1-1 Equatorial Guinea-(Penati)(Uwanja wa Olympique Alassane Ouattara)
-
18/01/2024, 14:00Equatorial Guinea 4-2 Guinea Bissau-(Penati)(Uwanja wa Olympique Alassane Ouattara)
-
18/01/2024, 17:00Ivory Coast 0-1 Nigeria-(Penati)(Uwanja wa Olympique Alassane Ouattara)
-
22/01/2024, 17:00Equatorial Guinea 4-0 Ivory Coast-(Penati)(Uwanja wa Olympique Alassane Ouattara)
-
22/01/2024, 17:00Guinea Bissau 0-1 Nigeria-(Penati)(Uwanja wa Felix Houphouet-Boigny)
-
-
Kundi B
Nchi P W L D GD Pts Cape Verde 3 2 0 1 4 7 Misri 3 0 0 3 0 3 Ghana 3 0 1 2 -1 2 Msumbiji 3 0 1 2 -3 2 -
14/01/2024, 17:00Misri 2-2 Msumbiji-(Penati)(Uwanja wa Felix Houphouet-Boigny)
-
14/01/2024, 20:00Ghana 1-2 Cape Verde-(Penati)(Uwanja wa Felix Houphouet-Boigny)
-
18/01/2024, 20:00Misri 2-2 Ghana-(Penati)(Uwanja wa Felix Houphouet-Boigny)
-
19/01/2024, 14:00Cape Verde 3-0 Msumbiji-(Penati)(Uwanja wa Felix Houphouet-Boigny)
-
22/01/2024, 20:00Cape Verde 2-2 Misri-(Penati)(Uwanja wa Felix Houphouet-Boigny)
-
22/01/2024, 20:00Msumbiji 2-2 Ghana-(Penati)(Uwanja wa Olympique Alassane Ouattara)
-
-
-
-
Kundi C
Nchi P W L D GD Pts Senegal 3 3 0 0 7 9 Cameroon 3 1 1 1 -1 4 Guinea 3 1 1 1 -1 4 Gambia 3 0 3 0 -5 0 -
15/01/2024, 14:00Senegal 3-0 Gambia-(Penati)(Uwanja wa Charles Konan Banny de Yamoussoukro)
-
15/01/2024, 17:00Cameroon 1-1 Guinea-(Penati)(Uwanja wa Charles Konan Banny de Yamoussoukro)
-
19/01/2024, 17:00Senegal 3-1 Cameroon-(Penati)(Uwanja wa Charles Konan Banny de Yamoussoukro)
-
19/01/2024, 20:00Guinea 1-0 Gambia-(Penati)(Uwanja wa Charles Konan Banny de Yamoussoukro)
-
23/01/2024, 17:00Gambia 2-3 Cameroon-(Penati)(Uwanja wa Bouaké)
-
23/01/2024, 17:00Guinea 0-2 Senegal-(Penati)(Uwanja wa Charles Konan Banny de Yamoussoukro)
-
-
Kundi D
Nchi P W L D GD Pts Angola 3 2 0 1 3 7 Burkina Faso 3 1 1 1 -1 4 Mauritania 3 1 2 0 -1 3 Algeria 3 0 1 2 -1 2 -
15/01/2024, 20:00Algeria 1-1 Angola-(Penati)(Uwanja wa Bouaké)
-
16/01/2024, 14:00Burkina Faso 1-0 Mauritania-(Penati)(Uwanja wa Bouaké)
-
20/01/2024, 14:00Algeria 2-2 Burkina Faso-(Penati)(Uwanja wa Bouaké)
-
20/01/2024, 17:00Mauritania 2-3 Angola-(Penati)(Uwanja wa Bouaké)
-
23/01/2024, 20:00Angola 2-0 Burkina Faso-(Penati)(Uwanja wa Charles Konan Banny de Yamoussoukro)
-
23/01/2024, 20:00Mauritania 1-0 Algeria-(Penati)(Uwanja wa Bouaké)
-
-
-
-
Kundi E
Nchi P W L D GD Pts Mali 3 1 0 2 2 5 Afrika Kusini 3 1 1 1 2 4 Namibia 3 1 1 1 -3 4 Tunisia 3 0 1 2 -1 2 -
16/01/2024, 17:00Tunisia 0-1 Namibia-(Penati)(Uwanja wa Amadou Gon Coulibaly)
-
16/01/2024, 20:00Mali 2-0 Afrika Kusini-(Penati)(Uwanja wa Amadou Gon Coulibaly)
-
20/01/2024, 20:00Tunisia 1-1 Mali-(Penati)(Uwanja wa Amadou Gon Coulibaly)
-
21/01/2024, 20:00Afrika Kusini 4-0 Namibia-(Penati)(Uwanja wa Amadou Gon Coulibaly)
-
24/01/2024, 17:00Namibia 0-0 Mali-(Penati)(Uwanja wa Laurent Pokou)
-
24/01/2024, 17:00Afrika Kusini 0-0 Tunisia-(Penati)(Uwanja wa Amadou Gon Coulibaly)
-
-
Kundi F
Nchi P W L D GD Pts Morocco 3 2 0 1 4 7 DR Congo 3 0 0 3 0 3 Zambia 3 0 1 2 -1 2 Tanzania 3 0 1 2 -3 2 -
17/01/2024, 17:00Morocco 3-0 Tanzania-(Penati)(Uwanja wa Laurent Pokou)
-
17/01/2024, 20:00DR Congo 1-1 Zambia-(Penati)(Uwanja wa Laurent Pokou)
-
21/01/2024, 14:00Morocco 1-1 DR Congo-(Penati)(Uwanja wa Laurent Pokou)
-
21/01/2024, 17:00Zambia 1-1 Tanzania-(Penati)(Uwanja wa Laurent Pokou)
-
24/01/2024, 20:00Tanzania 0-0 DR Congo-(Penati)(Uwanja wa Amadou Gon Coulibaly)
-
24/01/2024, 20:00Zambia 0-1 Morocco-(Penati)(Uwanja wa Laurent Pokou)
-
-
-
Hatua ya 16 Bora
-
27/01/2024, 17:00Angola 3-0 Namibia-(Penati)(Uwanja wa Bouaké)
-
27/01/2024, 20:00Nigeria 2-0 Cameroon-(Penati)(Uwanja wa Felix Houphouet-Boigny)
-
28/01/2024, 17:00Equatorial Guinea 0-1 Guinea-(Penati)(Uwanja wa Olympique Alassane Ouattara)
-
28/01/2024, 20:00Misri 1-1 DR Congo7-8(Penati)(Uwanja wa Laurent Pokou)
-
29/01/2024, 17:00Cape Verde 1-0 Mauritania-(Penati)(Uwanja wa Felix Houphouet-Boigny)
-
29/01/2024, 20:00Senegal 1-1 Ivory Coast4-5(Penati)(Uwanja wa Charles Konan Banny de Yamoussoukro)
-
30/01/2024, 17:00Mali 2-1 Burkina Faso-(Penati)(Uwanja wa Amadou Gon Coulibaly)
-
30/01/2024, 20:00Morocco 0-2 Afrika Kusini-(Penati)(Uwanja wa Laurent Pokou)
-
-
Robo- Fainali
-
02/02/2024, 17:00Nigeria 1-0 Angola-(Penati)(Uwanja wa Felix Houphouet-Boigny)
-
02/02/2024, 20:00DR Congo 3-1 Guinea-(Penati)(Uwanja wa Olympique Alassane Ouattara)
-
03/02/2024, 17:00Mali 1-2 Ivory Coast-(Penati)(Uwanja wa Bouaké)
-
03/02/2024, 20:00Cape Verde 0-0 Afrika Kusini1-2(Penati)(Uwanja wa Charles Konan Banny de Yamoussoukro)
-
-
Nusu- Fainali
-
07/02/2024, 17:00Nigeria 1-1 Afrika Kusini4-2(Penati)(Uwanja wa Bouaké)
-
07/02/2024, 20:00Ivory Coast 1-0 DR Congo-(Penati)(Uwanja wa Olympique Alassane Ouattara)
-
-
Nafasi ya 3 na ya 4
-
10/02/2024, 20:00Afrika Kusini 0-0 DR Congo6-5(Penati)(Uwanja wa Felix Houphouet-Boigny)
-
-
Fainali
-
11/02/2024, 20:00Nigeria 1-2 Ivory Coast-(Penati)(Uwanja wa Olympique Alassane Ouattara)
-

Chanzo cha picha, Getty Images
Uchaguzi wa kikosi cha AFCON 2023 na ushirikishe
Kwa kutumia mtandao wetu, chagua timu yako unayoipenda ya Kombe la Mataifa ya Afrika kutoka kwenye orodha yetu na uishirikishe marafiki zako.
Chagua mbinu
Chagua Mlinzi
Michuano hiyo itajumuisha makundi sita ya timu nne (A-F) huku timu mbili za juu zikifuzu moja kwa moja hatua ya 16 ya mwondoano.
Timu hizo 12 zitaunganishwa na timu nne zilizoshika nafasi ya tatu bora kutoka makundi sita, zikiwa na vigezo vinavyozingatia matokeo sambamba baina ya timu na pili tofauti ya mabao.
Utafiti na Damilola Ojetunde, uliyofanyiwa kazi na Olaniyi Adebimpe na Umeandaliwa na Boaz Ochieng














