Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Waganga wa tiba asili Tanzania wanavyosaidia kupambana na ugonjwa kifua kikuu
Waganga wa tiba asili Tanzania wanavyosaidia kupambana na ugonjwa kifua kikuu
Iliyochapishwa
Kifua kikuu ni moja wapo ya magonjwa yanayosababisha vifo kote duniani.
Hivi karibuni Shirika la Afya Duniani limeripoti kuwa mwaka 2021, watu takriban milioni 10.6 waliathirika na ugonjwa wa kifua kikuu.
Hata hivyo nchini Tanzania waganga wa tiba asili wametumika kama mabalozi wa kuelekeza wagonjwa walio na dalili za kifua kikuu hospitalini
Mwandishi wa BBC Saida Swaleh anaangazia zaidi ni kwa namna gani mbinu hii imeweza kupunguza maambukizi ya kifua kikuu.
Video: Frank Mavura