Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Familia ya Lungu yashinda kesi dhidi ya serikali
Familia ya Lungu yashinda kesi dhidi ya serikali
Iliyochapishwa
Mahakama ya Rufaa ya Afrika Kusini imeamua kwamba rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, anaweza kuzikwa nchini Afrika Kusini kulingana na matakwa ya familia yake.
Serikali ya Zambia imesema kwamba ingawa haikubaliani na uamuzi huo, haitaendela na suala hilo.
Frank Mavura na maelezo zaidi