Mwamuzi wa FIFA wa Somalia azuiwa kuingia Marekani

Mwamuzi wa FIFA wa Somalia azuiwa kuingia Marekani
Iliyochapishwa

Lakini mwamuzi huyu, aliyeshinda tuzo ya Mwamuzi Bora wa Mwaka wa CAF 2025, aliondolewa kwenye orodha ya waamuzi wa mechi baada ya mamlaka za Marekani kumkatalia kuingia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami. Je nini kimetokea? Omar Artan ni nani haswa?

Mwandishi wa BBC @_phillys na taarifa zaidi: