Kombe la Dunia 2026, Jezi ipi kali?

Kombe la Dunia 2026, Jezi ipi kali?
Iliyochapishwa

Kombe la Dunia 2026 linaanza. Lakini kabla hata ya kipenga cha kwanza kupulizwa, mjadala mwingine tayari umechukua nafasi kubwa mtandaoni, kuhusu jezi zitakazotumika na mataifa mbalimbali.