Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mtanzania mwenye asili ya Uingereza anavyopigania lugha ya Kiswahili
Mtanzania mwenye asili ya Uingereza anavyopigania lugha ya Kiswahili
Iliyochapishwa
Mwandishi wa vitabu na mtunzi wa mashairi Richard Mabala ameiambia BBC ni lazima kukubali kua lugha inakua hivyo maneno mapya yanazaliwa kutokana na namna vijana wanavyowasiliana sasa hayana budi kurasimishwa
Mabala ambaye kwa asili ni rai awa Uingereza na sasa ni Mtanzania amekua moja ya watu wanaopigania Kiswahili kutumika kama lugha ya kufundishia nchini Tanzania ili kuwezesha wanafunzi kuelewa kwa urahisi
Mwandishi wa BBC Eagan Salla alizungumza naye na kutuandalia taarifa hii