“Baba alisema hasomeshi mtoto wa kike akihofia kupata hasara"

Tuyajenge

Chanzo cha picha, Getty Images

Iliyochapishwa
Maelezo ya sauti, “Baba alisema hasomeshi mtoto wa kike akihofia kupata hasara,sikuweza kuimudu ndoa kwani muda wote nilikuwa nawaza kucheza na Watoto wenzangu,”anasema muathirika wa ndoa za utotoni, ambaye kwa wakati huo hakuelewa maana ya ndoa wala mahusiano.Tanzania inatajwa kuwa na asilimia 31 ya ndoa za wasichana chini ya umri wa miaka 18, Mila na Tamaduni zinaonekana kuwa kikwazo cha kufikia mapambano dhidi ya ndoa za utotoni.Ripoti ya Mwaka 2023 ya shirika la Watoto duniani UNICEF inasema ndoa za utotoni bado ziekita mizizi katika jamii,na kasi ya kupungua ikiendelea ilivyosasa inaweza kuchukua miaka 300 kumaliza tatizo hili.Karibu kusikiliza Makala hii ya Tujayenje ikiangazia kwanini mil ana tamaduni zinaendelea kuwa kikwazo dhidi ya mapambano ya ndoa za utotoni.