Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Tazama: Rwanda inavyowawezesha wakimbizi kubuni nafasi za kazi
Iliyochapishwa
Wakati ulimwengu unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wakimbizi, mashirika ya kutoa misaada yamekua yakizidi kupunguza misaada yao.
Rwanda ambayo imekuwa ikiwahifadhi maelfu ya wakimbizi imeanza mpango wa kusaidia wakimbizi hao kubuni nafasi za kazi na kufanya miradi ya kuwasaidia katika kujikimu kimaisha badala ya kutegemea misaada kutoka nje.
Mwandishi wa BBC Yves Bucyana ametembelea kambi ya wakimbizi ya Mugombwa inayohifadhi wakimbizi zaidi ya elfu 10 kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.