“Sufuria ya ugali iliniangukia nikiwa mtoto, niliungua mwili mzima”

“Sufuria ya ugali iliniangukia nikiwa mtoto, niliungua mwili mzima”
Iliyochapishwa

Wakati Wakristo duniani kote wakijiandaa kusherehekea sikukuu ya Pasaka, Muimbaji wa nyimbo za injili, Dkt Ipyana Kibona anawahamasisha Wakristo kwamba moyo wa kushukuru kwa matendo mema waliyotendewa na Mungu ni jambo la msingi akitoa mfano wa safari ya machungu ya mkasa uliompata alipokuwa mtoto.

Amezungumza na mwandishi wa BBC Veronica Mapunda.