Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Siku ya Polio Duniani: Polio ni nini na inaenea vipi?
Siku ya Polio Duniani: Polio ni nini na inaenea vipi?
Iliyochapishwa
Virusi vya polio hivi karibuni vimegunduliwa kwenye maji taka katika miji mikuu mbalimbali.
Ugonjwa huo adimu, unaosababishwa na virusi, ulikuwa karibu kutokomezwa kote ulimwenguni, isipokuwa nchini Pakistan na Afghanistan.
Unaweza kuenezwa kupiayia kugusa na kinyesi cha mtu ambaye ana virusi - labda kupitia chakula au maji machafu - au katika hali nadra kwa kukohoa na kupiga chafya.`