Ching Xi mwanamke kutoka China aliyehudumu kama Dada poa mpaka kuwa Baharia mashuhuri

m

Chanzo cha picha, UNKNOWN

Iliyochapishwa

Pengine umewahi  kusoma hadithi zinazohusu falme kubwa zilizokuwa zikipigana vita na falme za mataifa mengine na kufanikiwa kuiangamiza.

Miaka 200 iliyopita, maharamia wa kike wa Kichina walikuluwa na meli zaidi ya 1,800. Mwanamke huyu alianza maisha yake katika ukahaba katika mkoa wa pwani wa China.

Alijulikana zaidi kwa vurugu zake, manyanyaso pamoja na ukahaba, mwanamke huyu aliishi hadi 1844. Ching Xi alikuwa akitoa adhabu kali kwa watu ambao walikuwa chini ya uangalizi wake. 

Ching Xi alizaliwa huko Guangdong, Xinhui mnamo 1775.

Wanahistoria wameshindwa kukusanya taarifa kuhusu wanafamilia yake na historia yake kwa ujumla. Lakini maisha yake yalithibitisha mahali pake katika historia.

Katika karne ya 18, wanaume tu walishiriki katika biashara za baharini. Uzinzi ulikuwa wa kawaida kati ya meli zilizowekwa katika bandari na meli zilizotia nanga ufukweni.

Historia zinasema kuwa Ching Xi alianza mutahaba akiwa na miaka sita tu.

Kipindi hiki Zheng Yi nadiya aliyekuwa kiongozi wa maharamia aliyepigana na falme za Ching na Gwen.

Alipambana ili kuwapa nguvu waritis wa falme za  Suryavanshi huko Vietnam huku ndugu yake Zheng Ki akiwa ndio mwanajeshi aliyetegemewa zaidi.

m

Chanzo cha picha, Getty Images

Zheng Yi anaaminika kufa siku chache baada ya kuzaliwa kwa mtoto wake wa pili wa kiume. Alikuwa na umri wa miaka 42 wakati huo. Ching Xi hakutaka mtu mwingine yeyote kuchukua amri ya majambazi.

Kwa hivyo, kwa msaada wa mtoto wake wa kulea, Zhang Bao, alijilimbikizia nguvu zake.

Mahusiano Haramu ya Ching Xi Sheria zilizojitangaza za majambazi hazikuruhusu mwanamke kuwa kiongozi.

m

Chanzo cha picha, Getty Images

Iliaminika wakati huo kuwa uwepo wa mwanamke kwenye meli inaweza kuleta bahati mbaya. Katika hali kama hiyo, Ching Xi alimfanya Zhang Bao kuwa kiongozi.

Kidogo kidogo, Ching Xi aliifanya kuwa kibaraka wake.

Vyanzo vingine vya kihistoria ambavyo havijafikiriwa vinadai kwamba Ching Xi pia alikuwa na uhusiano wa karibu na Zhang Bao.

Zhang Bao alikuwa mkuu kwa jina tu. Nguvu halisi ilikuwa mikononi mwa Ching Xi.

Kundi hili la majambazi lilikuwa na nidhamu sawa na ile ya jeshi.

Heshima ya utaratibu ilikuwa ya lazima na kutotii kuliadhibiwa vikali.

m

Chanzo cha picha, Getty Images

Guo Podai, kiongozi wa Black Pavillion,aliona ni ujinga kuweka maisha yake pamoja na wafuasi wake kwenye vita hii. Kwa hivyo alikataa kushirikiana na Ching Xi na Zhang Bao.

Podai alijisalimisha kwa makamu wa Liangguang Januari 1810.

Kwa kitendo hicho alipandishwa ngazi mpaka kuwa luteni wa pili.

Muda mfupi baada ya kujiunga na jeshi, aliwaelezea kwa kina jinsi maharamia walivyojitolea chakula, mafuta na silaha. Baada ya hapo,laini nzima ya watu waliokuwa wanaunga mkono maharamia waliondolewa.

Dola ya Qing ilitambua kuwa ilikuwa kwneye wakati mgumu katika kupigana vita na maharamia, kwa hivyo mazungumzo yalipangwa.

Ching Xi alilazimishwa kukubali ofa hii, kwani uwezo wake ulikuwa mdogo.

mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm

Chanzo cha picha, Alamy

Katikatika mwa mwezi Aprili 20, 1810, Zhang Bao na Ching Xi walijisalimisha na maharamia zaidi ya 17,000, meli 226 za kivita, mizinga 1,300 na silaha 2,700. Nasaba ya Qing ilimfanya Zhang Bao kuwa Luteni wa meli 20 hadi 30.

Ndoa na mtoto wa kufikia

Ching Xi aliiomba serikali ruhusa ya kuolewa na mtoto wake wa kulea, Zhang Bao.

Ching Xi na Zhang Bao walizaa mtoto wa kiume na wa kike aliyeitwa Zhang Yulin. Zhang Bao alikufa mwaka 1822 akiwa na umri wa miaka 36. Ching Xi alirudi Guangdong. Alianzisha nyumba ya kamari na danguro huko.

Ching Xi, alikufa akiwa usingizini na umri wa miaka 69.