Wajumbe wa Hamas waondoka Cairo kwenye mazungumzo ya kusitisha mapigano Gaza bila makubaliano

Lakini kundi hilo lenye silaha linasema mazungumzo ya moja kwa moja na Israel juu ya usitishaji vita kwa wiki sita hayajaisha.

Moja kwa moja

Dinah Gahamanyi, Lizzy Masinga, Asha Juma and Ambia Hirsi

Hujambo na karibu kwa matangazo yetu ya mubashara leo ikiwa ni Alhamisi tarehe 07.03.2024