Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.

Bofya kuelekea tovuti kuu

Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data

Waasi wa M23 wauteka mji wa mashariki mwa DR Congo

"Sasa tuko Nyanzale, adui amekimbia," msemaji wa waasi Willy Ngoma aliambia BBC Idhaa ya Maziwa Makuu.

Moja kwa moja

Dinah Gahamanyi, Lizzy Masinga and Asha Juma

Hujambo na karibu kwa matangazo yetu ya mubashara ikiwa leo ni Jumatano terehe 06.03.2024