Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.

Bofya kuelekea tovuti kuu

Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data

Israel yashambulia maeneo ya Hezbollah kusini mwa Lebanon

Ndege za kivita za Israel zimefanya mashambulizi ya angani kusini mwa Lebanon, yakilenga ghala la silaha la Hezbollah na kiwanda cha kutengenezea silaha.

Moja kwa moja

Ambia Hirsi, Yusuf Jumah and Dinah Gahamanyi

Twatumai hujambo. Karibu kwa matangazo haya ya moja kwa moja.