Shinikizo yazidi kwa Rais Biden kujibu mashambulizi ya wanamgambo wa Iran

Haijabainika ni umbali gani Marekani inaweza kufika, lakini hali hiyo ni ukumbusho wa kile kilichotokea baada ya mashambulizi ya Desemba 2019, wakati wanamgambo wa Iraq waliporusha makombora kwenye kambi ya Marekani huko Kirkuk, na kumuua mwanakandarasi wa Marekani.

Moja kwa moja

Asha Juma and Abdalla Seif Dzungu

Hujambo na karibu katika matangazo yetu ya moja kwamoja ikiwa ni tarehe 29/01/2024.