Kinara wa mapinduzi ajitangaza kuwa Kiongozi wa Niger

Jenerali Abdourahmane Tchiani amelihutubia taifa akieleza sababu za mapinduzi hayo.

Moja kwa moja

Hujambo na karibu kwa matangazo yetu ya mubashara leo ikiwa ni tarehe 28.07.2023